Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 784
Kwahio wifi yako yule umemkataa?Sina brother mwingine zaidi yako
Huwa napata tabu sana na mwanaume anaetangaza kutafuta mchumba..'!..wanakuwaga na matatizo gani? Domo zege anataka wa kujileta tu au shida nini? Mi ninavyojua mwanume akiwa single ni maamuzi ila mwanamke mara nyingi huwa wamekosa wenza ndio wao huwa wanatafuta...ila mwanaime kutangaza kutafuta mchumba ina ukakakasi sana.!..sipati jibu mnamapungufu gani...nenda hata badoo wapo wengi
Vipi wewe ulifanikiwa kupata mkyumba?hhahahahh
Vipi wewe ulifanikiwa kupata mkyumba?
Maana sio kwa kufatilia nyuzi za aina hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahaaaaaa uwiii pole sana mydear.hhahaha nimeamua kustaafu rasmi!maana ht mluzi sipati..hangaika na ww love konnekt wapiii !nimeamua kuwaachia wenyewe!
Ahahahaaaaaa uwiii pole sana mydear.
Mimi nilivyomuelewa anashangaa ni kitu gani kinamfanya mwanaume aje kuweka tangazo mtandaoni? Ameshindwa kutongoza au tatizo ni nini? Hata mimi nashangaa kwa kweli...mwanamke akitangaza sawa maana sisi tunasubiri kutongozwa na huwezi kuchagua utongozwe na nani. Huenda wale wote wanaokutongoza hujawapenda na wale unaotamani wangekutongoza hawana wazo hilo na kwa sababu ni ngumu kwa mwanamke kumfuata mwanaume amtongoze anaamua kuja kuweka tangazo ajaribu huenda atakutana na mtu anayemtaka.basi wewe hujui,,ni kawaida sana men kutokua na mwanamke !kuliko mwanamke kutokuwa na mwanaume !ni maamuzi tu!sio km nyny
Mimi nilivyomuelewa anashangaa ni kitu gani kinamfanya mwanaume aje kuweka tangazo mtandaoni? Ameshindwa kutongoza au tatizo ni nini? Hata mimi nashangaa kwa kweli...mwanamke akitangaza sawa maana sisi tunasubiri kutongozwa na huwezi kuchagua utongozwe na nani. Huenda wale wote wanaokutongoza hujawapenda na wale unaotamani wangekutongoza hawana wazo hilo na kwa sababu ni ngumu kwa mwanamke kumfuata mwanaume amtongoze anaamua kuja kuweka tangazo ajaribu huenda atakutana na mtu anayemtaka.
Hali ni tofauti kwa wenzetu, wao wana uwezo wa kumfuata yeyote wanayemtaka wamtongoze ila tatizo linakuwa nini hadi waje huku? Ni kwamba wale wote wanaowaona hawajawavutia? Wanashindwa kuwatongoza wale wanaowataka?
Yaani men ampende mwanamke af aone shida kumfuata? Sidhanihahhaah huenda pia!ila mie nahs kwao kaugum kapo !men anaweza mpenda mwanamke kupindukia ila mwanamke asiiwe na mpango nae!anywys kuna shida kila pande aisee
Ahahahahahaaaaaaaaaaaakwi kwi kwi asante !nishapoa !mtu anakuja Na vigiezo vya hovyo hovyo ohh awe potabo,miaka 19!wakt my first son ana 24!nikasema bas bwana wee!ukisikia huk mkoan kwako NPASIE FASTTTTTTTAAAAAAAAAAA
Labda ungempa sababu ni nini. Maanake yeye kasema kinyume na wewe, ila wote hamjasema kwanini mnafikiri kauli yenu ni ya ukweli kuliko ya mwingine.basi wewe hujui,,ni kawaida sana men kutokua na mwanamke !kuliko mwanamke kutokuwa na mwanaume !ni maamuzi tu!sio km nyny
hahhaah huenda pia!ila mie nahs kwao kaugum kapo !men anaweza mpenda mwanamke kupindukia ila mwanamke asiiwe na mpango nae!anywys kuna shida kila pande aisee
Hilo ndio jibu?! Hio mbona ipo pande zote pia. Mwanamke anaweza kumpenda mwanaume kupindukia na mwanaume akawa hata hana mpango, in fact kwa wanaume ndio sana, ndio maana unasikia wanawake wanajihami 'siwezi kumfanyia hiki au kile akaja kuolewa mwingine' coz wanajua unaweza kufanya kila kitu kumbe mwanaume ana mwenzio huko anaweka mipango ya ndoa.nimemjiibu kupitia kwa Khantwe
Karibu tena kwa methali zaidLeo ndio nimeielewa hiyo methali mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hata fb umekosa mana fb ndo mtandao unaoongoza Kuunganisha watu mpaka kufikia hatua ya kuwa wapenzihhahaha nimeamua kustaafu rasmi!maana ht mluzi sipati..hangaika na ww love konnekt wapiii !nimeamua kuwaachia wenyewe!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hata fb umekosa mana fb ndo mtandao unaoongoza Kuunganisha watu mpaka kufikia hatua ya kuwa wapenzi
hahaaaa rizki yamtu anailalia mlango waziWeka tangazo lako na wewe mbona unadandia tangazo la mwenzio?
umeshamletea dharau ..pambana na hali yko ssaSawa mkuu inabidi nirudi tu kwa mdau huyo hapo juu nimuombe radhi tuyajenge