hayo ni maneno ya kujifariji ya kijinga zaidi ww umeona mwenyewe hajui kukosea akiamini yeye kasoma hajaruka ruka.....LAKINI KUKOSEA NDIO KUJUA
Mkuu mbona kama kukosea kuna weza kukufanya ukajua ? Au nimelewa mkuu?hayo ni maneno ya kujifariji ya kijinga zaidi ww umeona mwenyewe hajui kukosea akiamini yeye kasoma hajaruka ruka.....
kujua ni pale unapoweza kufanya bila kukosea.... kukosea ni kukosea tu haijawahi kuwa ni kujua
itakua umelewa mkuu..... zaidi utajua umekosea nikimaanisha utalitambua kosa ila kujua ni kamchakato kengine ambako kanahitaji mtu timamuMkuu mbona kama kukosea kuna weza kukufanya ukajua ? Au nimelewa mkuu?
'ww' una maanisha nini mbona na wewe unakosea kuandikahayo ni maneno ya kujifariji ya kijinga zaidi ww umeona mwenyewe hajui kukosea akiamini yeye kasoma hajaruka ruka.....
kujua ni pale unapoweza kufanya bila kukosea.... kukosea ni kukosea tu haijawahi kuwa ni kujua
Muulize mama yako kama mimi ni kilaza
Naaah irmΓ£o, naongea kiswahili mzee. Yo solo quiero practicar contigo, si te interesa la idea comparte su correo conmigo y te enviarΓ© la link de invitaciΓ³n para haciendo el google meet.duuuh, por que essa caligrafia parece de alguΓ©m que nΓ£o conhece Kiswahili? parece que um robΓ΄ foi usado
Ngoja nipunguze spidi ya kugida biaπ sasa twende kwenye mfano, nilifanya forex bila elimu kwa kina ,nikapoteza usd 2000 , je hauoni kuwa nitakua nimejua kuwa kosa langu nikutokuwa na elimu kwa kina ndio maana nmepoteza?itakua umelewa mkuu..... zaidi utajua umekosea nikimaanisha utalitambua kosa ila kujua ni kamchakato kengine ambako kanahitaji mtu timamu
hebu otea ninamaanisha nini'ww' una maanisha nini mbona na wewe unakosea kuandika
Acha ujuaji uhandishi ni sanaa unachoona wewe error mwandishi unakuta alikuwa anamaanisha kitu..Kuna typing errors kwenye Covers za vitabu vyako! Angalia tena! Eg; POLITICS umeandika POLTICS na YOUTH umeaandika YOUITH..
Uwe makini..
mkuu kweli punguza kunywa mataputapu umetoa mfano mzuri sana na kiufupi umetambua kosa ila hukuijua forex kupitia kosa lako.......Ngoja nipunguze spidi ya kugida biaπ sasa twende kwenye mfano, nilifanya forex bila elimu kwa kina ,nikapoteza usd 2000 , je hauoni kuwa nitakua nimejua kuwa kosa langu nikutokuwa na elimu kwa kina ndio maana nmepoteza?
Sasa kama unaandika kitu kinaeleweka Kwa wachache ti hivyo vitabu vitauzika kweli?Hapana SIO typing error HIO ni new version of english established in 2000
Kweli una akili mingi mkuu, ila huwa situmii mataputapu ila why mataputapu mkuu?ππππππππ.mkuu kweli punguza kunywa mataputapu umetoa mfano mzuri sana na kiufupi umetambua kosa ila hukuijua forex kupitia kosa lako.......
Kama hajui kukosea ndio kujua inabidi akajifunze hatua za ukuaji za Mtoto anapotaka kutembea anavyokosea kosea Mara aaanguke Mara ajishikilie ukutani ahahahaaNgoja nipunguze spidi ya kugida bia[emoji16] sasa twende kwenye mfano, nilifanya forex bila elimu kwa kina ,nikapoteza usd 2000 , je hauoni kuwa nitakua nimejua kuwa kosa langu nikutokuwa na elimu kwa kina ndio maana nmepoteza?
Ila kuna namna kila mmoja ana hoja πKama hajui kukosea ndio kujua inabidi akajifunze hatua za ukuaji za Mtoto anapotaka kutembea anavyokosea kosea Mara aaanguke Mara ajishikilie ukutani ahahahaa
mataputapu ndio hufanya mtu asielewe kitu haraka.... hata beer temana nazo jitahidi uanze kutumia wine inasaidia sanaKweli una akili mingi mkuu, ila huwa situmii mataputapu ila why mataputapu mkuu?ππππππππ.
Ni akili sio akiriWatanzania sisi tunasumbuliwa sana na Afya ya akiri.. karibu kwa huduma St joseph
Siyo Akiri ni AkiliWatanzania sisi tunasumbuliwa sana na Afya ya akiri.. karibu kwa huduma St joseph