Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

Ungekuwa sio masikini usingekuja hapa kutafuta manager..
 
Ungekuwa sio masikini usingekuja hapa kutafuta manager..
Sidhani kama kuna shemasi hapo. Na kama ni kweli labda siyo wa Wakatoliki. Labda ni wa kwa Mzee wa Upako, Mwingira, Kapola na Mwamposa. Sad!
Unakuja ki makabayo unataka ni deal na wewe ki mungu mungu? Fungua ubongo shenzi
 
Ah we brazaa umechapia bhana kubali kuelekezwa .. af usikute anaekulekeza anataka aone kama unashaurika then akubali kuwa meneja wako, so ukikaza fuvu mapema hv, means utasumbua kwenye malipoπŸ˜πŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…