Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

Mmmh!
Kuvunja taratibu za kisarufi ni kwenye ushairi ndiyo inaruhusiwa. Moja ya upekee wa wa ushairi "poetry" ni huo. To break grammatical rules of language.

Eg. "Forward they go" badala ya they go forward.
Namuna badala ya namna

Moreover; A title in literature ('n other writings) carry an important part of the message to be conveyed by the author to the audience.

Sidhani kama ni sahihi kuandaa kazi na kuiwasilisha bila kufanya cross checking based on the writer's intention.

Above All.
To write something is an art.
 
Endelea kujielimisha zaidi kuhusu poetic licence, na wakati huohuo, hilo jalada katengeneza kwa kutumia AI, ndiyo maana kuna hizo typos.
 
Kun'gan'gana ni kitu gani, Shemasi?

Na jina lako linaandikwa Pascal ama Pa sca l?
 
Sasa kama unaandika kitu kinaeleweka Kwa wachache ti hivyo vitabu vitauzika kweli?
Sarufi na Misimu haifanani, kuna muitalia mmoja amehitimu Degree ya Kiswahili Chuo kimoja HUKO Italy alisema akiingia mtaani Kiswahili cha mtaani hakiwezi kinamshinda yeye anakifahamu kile cha kitabuni TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…