Natafuta mganga wa kienyeji konki

Na huo ndio ubaya wa ushirikina mtarogana mpaka muwe masikini
Mtu ukiingia katika haya mambo inabidi mfukoni uwe na pesa ya kutosha
Kwa kweli Uchawi ni Imani ya Mtu, Lakini kWaamini MUNGU wana nguvu kuliko uchawi! Usiombe kukutana na watu wa namna hii, kuna watu wanapendwa na Mungu,wanalindwa na Mungu mwenyewe.
Kuna stori nilishawahi kuiandika hapa,
Wakati fulani nilikuwa naishi na kufanya kazi upande wa pili, nikiwa uko kuna watu walikorofisha nikawasimamisha kazi, Wakaunda jopo kuniendea kwa mganga, nikasikia nikafanya maombi nikamaliza, ikapita.
Nyingine, Kulikuwa na mkakati wa kuniondoa kwenye nafasi yangu, akaletwa na mtu kabisa, Kuna mshikaji alikuwa rafiki sana, akanifuata na kuniomba anipeleke kwa Babu yake eti amesikia taarifa mbaya,Nilimwambia MUNGU niliyenaye anatosha, Ikapita, Japo nilifanyiwa vitimbi sana lakini mpaka leo namshukuru MUNGU nimeshinda.
 
Aione deep pond kwenye jalada 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kikubwa hakikisha usiongee chochote kuhusu huyo mtesi na adui yako,

Hata kwa watu wengine usiongee chochote.

Usitume meseji yoyote.

Usipige simu,

Fanya matendo tu.

Nipo kimyaa kwa sasa ili jambo likitokea kusiwe na maneno kunihusu
 
Kama bado hujapata mganga nichek ila hapo kwenye kunipa shukran naomba usinipe hela Wala zawad yoyote ya kununua maana unavyo vingi vya kunibless nitafurahi ukinipa zawadi ya kipekee
 
Kwa kuwa umeshaibiwa Sasa,usikubali kuendelea kuibiwa hakuna mganga wa kweli,ila wanafanya TU kama biashara au mfanyakazi wa ofisini,Hela Yako uliyonayo usiendelee kuibiwa,nipe Mimi na matatizo Yako yasiyoisha itakuwa mwisho wake🤣🤣🤣🤣
 
Nataka danga langu nilipumbaze[emoji850]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…