Natafuta mganga wa kienyeji konki

Ushirikina ni uovu
 
Mchepuko amebebeshwa lawama zote ila mchepukaji halaumiwi huenda kwasababu yeye ni mtoto mdogo.

Ila huyo mlogaji bora ajifunze uganga kabisa maana itabidi aloge wengi maana hilo litoto lake bado litaendelea kuchepuka kwingine tu.
 
Mchepuko amebebeshwa lawama zote ila mchepukaji halaumiwi huenda kwasababu yeye ni mtoto mdogo.

Ila huyo mlogaji bora ajifunze uganga kabisa maana itabidi aloge wengi maana hilo litoto lake bado litaendelea kuchepuka kwingine tu.



Sababu mchepuko alikuwa na uwezo wa kukataa kuingia hayo mahusiano labda ithibitike kuwa alifanya kubakwa yaani kuingiliwa kwa nguvu bila ridhaa yake.

Hata baba mzazi anaweza kumuanza bintiye kumtaka kimapenzi ,

Je binti awe anakubali sababu yeye ameanzwa kutakwa na baba yake mzazi?

Anachotakiwa ni kukataa , sasa kwa nini akubali?

Mwanamke ndie wa mwisho kuridhia mahusiano ya mapenzi labda abakwe.

Halafu mbaya zaidi mwanamke akaona kufanya uhusiano bila kuroga haitoshi mpaka mpaka amroge Mwanaume kumpumbaza akili yake ?!

Haitoshi na kumwibia hela Mwanaume wa watu?!

Wote kweli ni wakosefu lakini mwanamke mchepuko ni mkosefu zaidi na adhabu yake inapaswa kuwa kubwa zaidi.
 
Nataka dawa yakumuadabisha jamaa aliyelala namke wangu. Kama ipo ni pm
 
Kama bado hujapata mganga nichek ila hapo kwenye kunipa shukran naomba usinipe hela Wala zawad yoyote ya kununua maana unavyo vingi vya kunibless nitafurahi ukinipa zawadi ya kipekee
Hio zawadi hao waganga wote watakuwa wamekutunzia wewe, wanakuogopa? Hujasoma hapo juu huyo mke wa mtu aliyelala kwa mganga siku tatu ili simu yake ipatikane? Siku tatu!!!! Na usiku wanaamshana kupiga stori!!! Na anasimulia kwa furaha!!!!

Au umesahau kisa cha mwaka Jana mganga kakutwa na zaidi ya chupi 50 za wake za watu wateja wake, akiipaka dawa yule mwanamke anajipeleka mwenyewe anamzini, ni rotation tu inaendelea.

Au wale waliotangazwa ITV wiki iliyopita, familia iliyopeleka watoto wao 3 wakiume wakazindikwe, dawa inatolewa usiku, wote wakalawitiwa!!! Eti nao wamekasirika wanatoa taarifa polisi !!!!
 
Duhh

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…