Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushirikina ni uovuPoleni na majukumu ya kila siku
Nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha
Moja kwa moja kwenye mada,nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo
Hii dunia ina mengi,na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha,nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza, ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana
Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu
Mchepuko amebebeshwa lawama zote ila mchepukaji halaumiwi huenda kwasababu yeye ni mtoto mdogo.Kwanini hakukataa alipotongozwa ili hali alikuwa anajua jamaa ameoa na siku ya harusi huyo mchepuko alikuwepo kuanzia kanisani hadi ukumbini na kuthibitisha kuwa jamaa ameoa?!
Kwani alifanya kubakwa ?
Isitoshe mke wa jamaa amekuwa akiwakamata mumewe na huo mchepuko mara kadhaa kwa miaka kadhaa na kumuonya mara kadhaa lakini mchepuko umeendelea kushupaza shingo na kumganda mume wa mtu kwa miaka yote hiyo?!
Mchepuko hauna kazi hata ya kuingiza kipato cha shilingi 100 mchepuko unaishi mjini Kwa kuwekwa na mume wa mtu halafu amepumbaza akili ya mume wa mtu kiasi nyumba imekufa na kuparagangika!
Halafu mchepuko haujui kuwa mke wa ndoa ndio wenye kufanya maendeleo ya familia yote anayoyajua na asoyajua?!
Mchepuko ameenda mbali kwa kuzaa na mume wa mtu na kumroga na kumfanya zezeta?!
Mchepuko wa hivyo sio wa kuupotezea tena enough is enough!
Mpe funzo ambalo litakuwa Somo kwa wengi.
Usimuue,
Kisasi ni cha Bwana,
Lakini funzo mpe tena kubwa sana lile la mwanaukome!
Yani mtu badala ya kuonesha kujutia makosa Eti yeye anatamba?
Hapana!
Mleta mada mimi nakuelewa Dunia hii nimejifunza iko na mambo mengi sana.
Kuna ndugu yangu anapitia mtihani wa kufanana na wako!
Mchepuko amebebeshwa lawama zote ila mchepukaji halaumiwi huenda kwasababu yeye ni mtoto mdogo.
Ila huyo mlogaji bora ajifunze uganga kabisa maana itabidi aloge wengi maana hilo litoto lake bado litaendelea kuchepuka kwingine tu.
Samehe tu...tafta mnyonge wako na wwNataka dawa yakumuadabisha jamaa aliyelala namke wangu. Kama ipo ni pm
Nataka dawa yakumuadabisha jamaa aliyelala namke wangu. Kama ipo ni pm
Mle jicho tu mke wakoNataka dawa yakumuadabisha jamaa aliyelala namke wangu. Kama ipo ni pm
Unataka mwenzio atokewe uvulana wake.
Nenda maduka ya sunna utamwambia shida yako atakupa dawaNakadori ebu nipe muongozo nataka nikapige msasa nyota[emoji1] wapi panafaq visomo au mganga
Ulipata wa karibu
[emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2267797
Ndio nyie hua mnatawaliwa na wanawake kwa hizo fikra za kipumbavu,uanaume haupimwi hivyo,acha kuiongopea nafsi yako.Dah mzee unajibishana na mwanamke , ? ni aibu kubwa sana mwanaume kusutana na mwanamke..dah unawezaje ?
Hio zawadi hao waganga wote watakuwa wamekutunzia wewe, wanakuogopa? Hujasoma hapo juu huyo mke wa mtu aliyelala kwa mganga siku tatu ili simu yake ipatikane? Siku tatu!!!! Na usiku wanaamshana kupiga stori!!! Na anasimulia kwa furaha!!!!Kama bado hujapata mganga nichek ila hapo kwenye kunipa shukran naomba usinipe hela Wala zawad yoyote ya kununua maana unavyo vingi vya kunibless nitafurahi ukinipa zawadi ya kipekee
DuhhHio zawadi hao waganga wote watakuwa wamekutunzia wewe, wanakuogopa? Hujasoma hapo juu huyo mke wa mtu aliyelala kwa mganga siku tatu ili simu yake ipatikane? Siku tatu!!!! Na usiku wanaamshana kupiga stori!!! Na anasimulia kwa furaha!!!!
Au umesahau kisa cha mwaka Jana mganga kakutwa na zaidi ya chupi 50 za wake za watu wateja wake, akiipaka dawa yule mwanamke anajipeleka mwenyewe anamzini, ni rotation tu inaendelea.
Au wale waliotangazwa ITV wiki iliyopita, familia iliyopeleka watoto wao 3 wakiume wakazindikwe, dawa inatolewa usiku, wote wakalawitiwa!!! Eti nao wamekasirika wanatoa taarifa polisi !!!!