Natafuta mganga wa kienyeji konki

Dah mganga na chupi 50 kweli mnganga kiboko. Wapi wanatoa mafunzo ya uganga niende na mie niwe nakula mbususu za wake za watu?
Alafu kumbe hii fantasy ya kubaki na chupi za mrembo uliye mgegeda tunayo wengi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waganga wanachakata sana mbususu.
 
Mimi ni kijana naishi DSM, niliachana na mke wangu mwaka 2020 baada ya kugundua ni mshirikina, toka nimemwacha kwangu imekuwa shida ananiendea kwa waganga ili anidhuru.

Amenivurugia mipango yangu ya maendeleo hakuna ninachofanya kikafanikiwa.

Naomba msaada kwa anayejua mganga konki wa kuweza kunisaidia kadhia hii ikiwezekana hata kulipa kisasi.
 
Nna first born wangu hatari sana class! Akipata mtihani 90% anakasirika sana ,yeye anataka 100% tu.
Toka darasa la kwanza hadi sasa darasa la tano ni namba moja mitihani yote.

Sasa hapa kati kuna jambo la kushangaza, anaweza kuamka usiku macho yanawasha analia sana,tukienda kwa wataalamu wa macho ,wanasema hana tatizo.
Tutakaa mwezi wala hana shida,mara tatizo linaaanza tena,mara nyingi usiku akiwa amelala.

Sasa kwa scene kama hii tutakwepa vipi kupambana kwa waganga?

Kanisani tunakwenda,na kwa waganga tunakwenda,jino kwa jino.
 
Emma sio mtoto wa marehemu mwandulami, Bali ni mkwe wake, kaoa Binti yake.

Huko asiende hakuna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…