Nna first born wangu hatari sana class! Akipata mtihani 90% anakasirika sana ,yeye anataka 100% tu.
Toka darasa la kwanza hadi sasa darasa la tano ni namba moja mitihani yote.
Sasa hapa kati kuna jambo la kushangaza, anaweza kuamka usiku macho yanawasha analia sana,tukienda kwa wataalamu wa macho ,wanasema hana tatizo.
Tutakaa mwezi wala hana shida,mara tatizo linaaanza tena,mara nyingi usiku akiwa amelala.
Sasa kwa scene kama hii tutakwepa vipi kupambana kwa waganga?
Kanisani tunakwenda,na kwa waganga tunakwenda,jino kwa jino.