Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Kingine cha muhimu sana ni kwamba ukisha pewa connection wee nenda hadi huko ,utajua tuu kama kweli ulidanganywa ama ni uhalisia ,mganga wa kweli utamjua tuu ,hata sisi wengine tulipewa machimbo na tukaenda maeneo yale tuliyo elekezwaa , kuna mwingine alisema kwa somebody mwandulami ,mbn watu walienda na wakaja na mrejesho kuwa yule fundi alisha kufa. Kingine msicho kijua mafundi wametofautiana sio lazima aliye kutoa wewe atanitoa na mimi hapana mlijue hilo , wewe unaweza enda na ukakwama mwingine akatoboa tena kiulaini
 
utaweza masharti ama unatafta tu mganga wengi wenu mnaenda kwa waganga ila masharti yanawashinda
Kweli kabisaa ,kuna jamaa nilisimuliwa aliambiwa watakuja wageni awapokee kumbe cobra, cobra alipofika jamaa akamuua kumbe ilitakiwa amkarimu ampe na msosi ale daah utafutaji una mambo ,though waganga wanatofautiana maujuzi
 
Bro. Kuna mwingine unampatia namba kabisaaa lkn haishii hapo tuu unamwelekeza hadi ramani yote ya kufika huko. Lakini bado anakuuliza maswali ya kipumbavu ,anataka kujua uchumi wako na unamaisha gani sasa unajaribu kujiuliza mtu umempatia namba anashindwaje kupiga simu na kama anahisi namba sio unampatia hadi ramani ya kufika huko. Sasa shida iko wapi alafu mtu huyo bado anakuita tapeli .UJINGA
Waganga wapo tofauti ,kuna mwingine kajikita kwenye mali ,mwingine magonjwa na mwingine vyote kwa pamoja
 
Bro. Kuna mwingine unampatia namba kabisaaa lkn haishii hapo tuu unamwelekeza hadi ramani yote ya kufika huko. Lakini bado anakuuliza maswali ya kipumbavu ,anataka kujua uchumi wako na unamaisha gani sasa unajaribu kujiuliza mtu umempatia namba anashindwaje kupiga simu na kama anahisi namba sio unampatia hadi ramani ya kufika huko. Sasa shida iko wapi alafu mtu huyo bado anakuita tapeli .UJINGA
Kuna hyo alinipa namba akasema mpigie hyo atakusaidia wengine tunaomba namba kwa ajili ya ndugu zetu aloo nilioga matusi ya mie mchawi😂😂
 
Watu wa jf ni wapuuzi sana ,mtu anakufata inbox umpe chaka kisha unampatia then akienda huko uliko muelekeza anafika anaongea yote uliyo yasimulia huku ,bahati mbaya sana tena sana huwez kuwatambua coz humu wanatumia id fake ila kiukweli sio vuzur, mwingine anakufata inbox kwa maneno mazuri tuu kumbe anakusnitch tuu baadae unagundua ni mpelelez wa maisha yako yaan anataka kujua unamiliki nini na nini ,sasa unajiuliza huyu kafata connection au mpelelez wa maisha yangu.
Mwingine anakuja inbox na vijimaswali vya kimitego akisha kupeleleza akijua uimara wako wa uchumi anaanza kuleta habari za biashara aifanyayo baadae unagundua kuwa huyu ni tapeli hivyo wengine tunafuatwa inbox na matapeli

Mwingine anafungua account nyingine ya jina la mdada kwa kuwa anajua ulielezea kuwa ulifanikiwa moja mbili basi atakupeleleza weeeeeee baadae unajua adhima yake ni nini, kuna maswali inbox unaulizwa hadi unashangaa sasa unategemea mtu kama huyo utampatia chimbo la kweli?
Duh!!....
 
mnajua nyie mnaotafuta waganga sjui mnakuaga mnawashwa hebu fungukeni akili huwez toka mkoa fulani kwenda mkoa mwingine kufuata mganga wakati hata masharti hujui ni namna gani ya kuyasikiliza msidhani kila mtu anaenda kwa mganga anafanikiwa kisa mganga wa kweli wengi wanafeli kwenye masharti hasa swala la usafi.
Jambo jingine unamuelekeza mtu mazingira hadi namba za mtaalamu unampa ila bado atakuuliza maswala ya kijinga kama vile hakua na shida hvi unaweza amini kuna watu hawaez hata kujieleza kwa shida zao na huwez fanikiwa kama hutajieleza vizuri. unakuta mtu anatafta mali kwa waganga ila haongei yy anatarajia sjui mganga atampa tu mali bila yy kusotea kilinge.
Pia mtambue unapoenda kwa mganga kuna mambo ya msingi lazima uyafanye kwanza ndipo uendelee na kile unachotaka huwez fika kwa mganga unataka mambo yako yanyooke ila bado hujajisafisha na kujitia kinga hapo hata mganga akikupa dawa zinaweza zisifanye kazi kwakua una vitu vingi vingine vishaharibu dawa yaani kuna mambl mengi ila cha msingi tulizeni akili uchawi upo waganga OG wapo ni ww tu na haraka zako au umakini wako utakufanya ufurah au uone umeliwa
 
Back
Top Bottom