Natafuta mganga wa kienyeji konki

Utaroga watu wangapi katika maisha yako? Wewe hujawahi kumkosea mtu?

Ingekua kila anayekosewa anamroga mwenzake hii Dunia tungekuana watuwa aina gani leo hii?

Usisemee mioyo ya watu,pengine na mimi nimesharogwa sana tu,usiyoyajua yasikupe shida
Hapa jambo ni moja tu na lazima likamilike hakuna ushauri wa kurudi nyuma
Dunia ndio hii na sisi ndio walimwengu
 
Nini kimekupata Lightness?
 
Utaroga watu wangapi katika maisha yako? Wewe hujawahi kumkosea mtu?

Ingekua kila anayekosewa anamroga mwenzake hii Dunia tungekuana watuwa aina gani leo hii?

Huyu hakustahili KUROGWA?

#YNWA
 
Kama upo series kabisaa.

Panda basi nenda hapo Liwale, kuna kijiji kinaitwa Ngende.
 
Mkuu mtafute Mungu hapa duniani sidhani kama umebakiza zaidi ya miaka 50
 
Usisemee mioyo ya watu,pengine na mimi nimesharogwa sana tu,usiyoyajua yasikupe shida
Hapa jambo ni moja tu na lazima likamilike hakuna ushauri wa kurudi nyuma
Dunia ndio hii na sisi ndio walimwengu
Comment yangu imekuja kwa mfumo wa kuuliza ndio maana kuna question mark,jifunze kusoma comment na kuielewa kuliko kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…