Natafuta mganga wa kienyeji konki

Kwamba yule aliyeumba ulimwengu, viumbe vyote ,na akamuumba huyo mganga unayemtafuta HUMUAMINI kwamba anaweza kutatua tatizo lako?

🤔 give me a break , anyways maisha ni kuchagua ila mimi ushauri wangu ni usipoteze pesa kwa hao waganga instead toa hiyo pesa sadaka kwa wasiojiweza halafu Muombe Mola muumba wa vyote kwa nia thabiti kabisa halafu JUST WAIT 🖐️
 
Mtafute jamaa anaitwa Mshana Jr, nasikia wenyeji hapa Dar wanasema bonge la kigagula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…