Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Lete afu3 nikupeleke Same kwa mganga wa kweliNadhani kwangu ISHADUNDA maana nimeoga sana michumvi kiasi kwamba nimepauka hadi nikilamba mikono yangu ni chumvi tupu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete afu3 nikupeleke Same kwa mganga wa kweliNadhani kwangu ISHADUNDA maana nimeoga sana michumvi kiasi kwamba nimepauka hadi nikilamba mikono yangu ni chumvi tupu!
🤣🤣 aisee pole sana mkuuNadhani kwangu ISHADUNDA maana nimeoga sana michumvi kiasi kwamba nimepauka hadi nikilamba mikono yangu ni chumvi tupu!
Me mwenyewe mwizi!Utaibiwa hapa...
Laki moja nitaitoa wapi na nina shida ya helalete mjane wa bob junior(simba) na fedha taslimu tsh 100K, NITAKUSAIDIA x 3
Kwamba yule aliyeumba ulimwengu, viumbe vyote ,na akamuumba huyo mganga unayemtafuta HUMUAMINI kwamba anaweza kutatua tatizo lako?Wakuu mambo vp?
Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!
Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.
N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
Mkuuu sawa niachane na vibaka wa dar, lete connection ya miamba ya ukwel hata piemu itapendeza!Dar Kuna mganga Kuna vibaka?uache kwenda zako namanyere huko au nampula
Mtafute jamaa anaitwa Mshana Jr, nasikia wenyeji hapa Dar wanasema bonge la kigagulaWakuu mambo vp?
Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!
Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.
N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
Mizimu huwa haikopwi na ikikudai huwezi ilipa nenda ukajipange utarudi inaonekana huna shida.Laki moja nitaitoa wapi na nina shida ya hela
Nikopeshe tiba, nitakulipa nikifanikiwa
Dah kumbe kuna binaadamu wanaaminiNjoo pm nikupe konekisheni, muhimu utambue kuwa huyo fundi hapatikani Dar es Salaam. Kama uko tayari njoo nikupe namba yake
Nilijua tu, waganga wa mjini matapeli mmeweka hela mbele.Mizimu huwa haikopwi na ikikudai huwezi ilipa nenda ukajipange utarudi inaonekana huna shida.
Nadhani kwangu ISHADUNDA maana nimeoga sana michumvi kiasi kwamba nimepauka hadi nikilamba mikono yangu ni chumvi tupu!
We una shida ya mganga kweli nikuunge na wa gamboshi?Nilijua tu, waganga wa mjini matapeli mmeweka hela mbele.
Mtoa mada acha ubahili wa nauli, toa hela nenda vijijini huko ndani ndani ndio utapata msaada.
Dah kumbe kuna binaadamu wanaamini
Mganga = DoctorKwa waganga mnaendaga kufanyaje 😳😳
Kweli nina shida ya mgangaWe una shida ya mganga kweli nikuunge na wa gamboshi?