Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Nenda kiloka kuna mzee ila jina lake huwezi amini silijui kabisa,huyu mzee panda gari zinazopita mikese kuja kutokea kiloka,shuka hapo tafuta bodaboda yeyote mwambie nataka yule mzee anaeishi peke yeke juu ya mlima.

Ukipanda gari shuka kituo kinaitwa dukani.

Kila la kheri
Duuuuuh
 
Ni mkoa na wilaya gani huko
 
Huyo jamaa anaongea tu biashara za kwenye makaratasi aingie field aone kulivyo kugumu pamoja na kufanya hayo yote.
Hayo ni maneno ya kwenye makatasi, huku mtaani unaweza unafanya yoyote, uza sana bidhaa bora, shusha bei, fungua mapema na ukafunga kwa kuchelewa, ongea vizuri uwezavyo still UKAPIGWA DOLO LA WATEJA.

MTAA HUUJUI WEWE
 
Unakaza fuvu tu, hujui lolote. Watu tumefanya sana mambo hayo tena sana na zaidi ujuavyo lakini sio kama ulivyo andika.
Ninafanya biashara nafanikiwa kutokana na hilo sijatumia mganga wala majini
 
Back
Top Bottom