Natafuta mganga wa kienyeji konki

Una nuksi zilizo pitiliza?
Una gundu?
Tafuta mtu msafi akufanyie hili
Achukue nazi ya mdondo aikune achanganye na maji yake, aweke habat nuksi, chumvi ya mawe, mchekea, mwinula, muosha fedha, mvuma nyuki, mpapatiko na kivumbasi.

Atandike kitambaa cheupe ukae kisha jisugue mwili mzima huo mchanganyiko, kisha kusanya huo uchafu kwenye hicho kitambaa. Kaufukie jalalani au kwenye mti mkubwa uliokauka wenyewe. Ukimaliza kaoge maji yaliyochanganywa na maji ya mchele (yaliyooshewa mchele).

Una maswali, njoo PM.
Hapo hakuna uchawi wala ulozi.
Bwana Yesu asifiwe.
 

Unamshukuru Mungu kukupatia mganga bora kabisa au sio....
 
Mkuu nipe na mm connection please.
 
Ushafanya tafiti sababu zinazowapunguza wateja dukani kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…