Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.

Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia familia yangu.

Baada ya mwanzo mzuri sana wa biashara yangu ilianza kufa ghafla na imedidimia hadi leo. Nakaa kuhesabu boda boda zikipita njee ya barabarani

Nisaidieni kupata mganga mzuri mwenye kuweza kunirudisha vizuri kiuchumi.

pliz naomba usiwe mzito kunisaidia.
Una nuksi zilizo pitiliza?
Una gundu?
Tafuta mtu msafi akufanyie hili
Achukue nazi ya mdondo aikune achanganye na maji yake, aweke habat nuksi, chumvi ya mawe, mchekea, mwinula, muosha fedha, mvuma nyuki, mpapatiko na kivumbasi.

Atandike kitambaa cheupe ukae kisha jisugue mwili mzima huo mchanganyiko, kisha kusanya huo uchafu kwenye hicho kitambaa. Kaufukie jalalani au kwenye mti mkubwa uliokauka wenyewe. Ukimaliza kaoge maji yaliyochanganywa na maji ya mchele (yaliyooshewa mchele).

Una maswali, njoo PM.
Hapo hakuna uchawi wala ulozi.
Bwana Yesu asifiwe.
 
Achana na watu wanaokwambia eti mganga hawezi kukusaidia, ata mimi katika kipindi flani cha maisha yangu niliaminishwa ivo na ukizingatia elimu dunia niliyonayo nilipingana sana na hoja ya kuwa waganga wana nguvu za kuweza kusaidia.mwaka 2019 yaliponikuta biashara yangu ikapigwa pini na TRA, wyf akaugua pressure ndo niliisoma namba.mwamba mmoja ndo alinitip uwepo uwepo wa mama aike dumba ,Mungu katika dunia,alpha na omega, na ndio ukawa mwisho wa matatizo yangu

Unamshukuru Mungu kukupatia mganga bora kabisa au sio....
 
Achana na watu wanaokwambia eti mganga hawezi kukusaidia, ata mimi katika kipindi flani cha maisha yangu niliaminishwa ivo na ukizingatia elimu dunia niliyonayo nilipingana sana na hoja ya kuwa waganga wana nguvu za kuweza kusaidia.mwaka 2019 yaliponikuta biashara yangu ikapigwa pini na TRA, wyf akaugua pressure ndo niliisoma namba.mwamba mmoja ndo alinitip uwepo uwepo wa mama aike dumba ,Mungu katika dunia,alpha na omega, na ndio ukawa mwisho wa matatizo yangu
Mkuu nipe na mm connection please.
 
Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.

Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia familia yangu.

Baada ya mwanzo mzuri sana wa biashara yangu ilianza kufa ghafla na imedidimia hadi leo. Nakaa kuhesabu boda boda zikipita njee ya barabarani

Nisaidieni kupata mganga mzuri mwenye kuweza kunirudisha vizuri kiuchumi.

pliz naomba usiwe mzito kunisaidia.
Ushafanya tafiti sababu zinazowapunguza wateja dukani kwako?
 
Back
Top Bottom