Natafuta mganga wa kienyeji konki

Watu wengi wanania ya kugusa usawa wa ardhi na sio kuwaza makubwa ya ulimwengu

Wengi wamebanwa na mifumo inayowapa hofu na wasiwasi kama vile kuwaza code bili pesa kitu ambacho ndio kitawafanya wasitumie nguvu iliyo ndani yake kupata anacho taka .

Kuamka kutoka kwenye ndoto ni gharama na ni ukweli.

apo ndio utaona watu kwenye hii dunia wanavyo endeshwa kama maroboti .

 
Unapokuwa na shukrani unakuwa upo kwenye nishati ya kupokea

Moja ya njia rahisi ya kuongeza udhihirisho ni kuwa na shukrani na kuamini kwamba Kila tukio kwenye maisha yako ni baraka .

Iyo ndio njia ya kuongeza nguvu ya sumaku.

Kila kitu ni nishati.

Kila kitu kinatetema pale ambapo utakapo Anza kufanya mitetemo na kuamsha nishati iliyo ndani yako.

Ukiwa na hisia za shukrani Kila kitu kutakuja kwako .

Shukrani Ina mitetemo ya miujiza mikubwa snaa kwenye ulimwengu huu .

 
Kinacho fanya watu wafanikiwe sio kwamba ni wajanja Sana apan ila ni ain ya mitetemo walio nao imewaruhusu wafike pale .

Mitetemo inapo ongezeka ndipo utakapo Anza kutoka kwenye minyororo ya hofu wasi wasi mashaka .

Nishati inapo ongezeka ndipo unakuwa unaongeza upokeaji .

Maisha ni nishati ,pesa NJ nishati au nguvu .

Usiangaike kutafuta pesa angaika kuzalisha nishati iliyo ndani yako pesa aifati mtu anayo tafuta pesa pesa ufata mtu mwenye nishati ndani yake .

Nishati ndio pesa halisi ya ulimwengu huu sio pesa unayo iyona .
 
Siri ya Kwanza ya kupata unacho kitaka sio kukitafuta .

Watu wengi uku wanatafuta Kila siku pesa wengine mpka wanazeeka na awapati

Atujaletwa duniani kuja kutafuta pesa ,umeletwa dunia kuwa na kitu Cha kuvuta vile unavo vitaka viwe Karibu na wewe kwa kupitia aina ya mitetemo uliyo nayo .

Kuwa nacha kuvuta ili kile unacho kitaka kiwe Karibu na wewe .

Lazima uamke kwamba Kila unacho kitaka na kukitafuta kipo ndani yako ni kwamba aina ya mitetemo uliyo nayo airuhusu kumiliki unacho taka.

Ukibadilisha mitetemo unakuwa sumaku unavuta .
 
Hizo picha Zina husiana!!
Je ni vitu gani vya kuzingatia na kuanza kuvifanya ili kuvuta kile unachokitaka?
 
Hujachelewa kujiuliza
"Je, niko tayari kubadilisha maisha yangu,
niko tayari kubadilika?”
Hata hivyo sisi ni wazee,
chochote tulichopitia,
daima inawezekana kuzaliwa upya.
Ikiwa kila siku ni nakala ya ya mwisho,
ni huruma iliyoje!

Kila pumzi ni nafasi ya kuzaliwa upya.

Lakini kuzaliwa upya katika maisha mapya,
inabidi ufe kabla ya kufa.
 
Unapotafuta mafanikio weka akilini .

Akuna utajiri wa kutoa pesa uwo ni uwongo na utapeli tu .

Ila tu Kuna vitu watu wanapewa .

Vile vitu watu wanavyo pewa ndio uwaongoza kwenye njozi kwamba kafanye Ivi na Ivi utapata pesa .

Kwaiyo njia ya mafanikio wanaelekezwa Cha kufanya na namna ya kufanya ili upate pesa nyingi ,shida sio kupata pesa Kila mtu anapata pesa shida ni kupata pesa nyingi .

Kwaiyo usijidanganye Kuna sehemu utaenda kuchukua utajiri ukapewa marundo ya pesa ni uwongo uwongo uwongo .

Na ile uwe tajiri lazima uwe Kuna kitu unafanya kwa mikono yako ,akuna mtu anayokuwa tajiri kwa kupewa pesa watu wanakuwa matajiri kwa kupewa maelekezo jinsi ya kutengeneza pesa nyingi

Njia za mafanikio lazima ziende tofauti na wewe weka akilini ilo .
 
Acha Leo niwapashe kidogo ujinga uwatoke kutokujua ndio ujinga uwanzia apo .

Kuna watu wengi Sana unawasikia kwamba wameuza roho zao kwa shetani lakini ukweli ni kwamba uwezi kuuza roho yako kwa mtu yeyote ,

Je kinacho fanyika aswa ni kipi kama awauzi roho yao?? Twende sambamba .

Lazima ujue Kwanza nafsi yako sio mwili ni akili iliyo ndani yako..

Nisawa na kufanya kitu kibaya uku moyo wako unajua kabisa umefanya kitu kibaya kwasababu nafsi yako ipo ndio maana unajua iki ni kibaya na iki ni kizuri .

Kwaiyo wale watu wanakuwa kwenye mfumo wa kitamathali kwa kubadilishana pesa kwenda kinyume na roho zao kwenda kinyume na roho au mapenzi .

Akuna shetani wa kuuza roho yako ila tu unaweza kubadilishana pesa kwenda kinyume na wema wako wa roho ,ndivyo watu mashuhuri wamefanya .

Kama umeipenda comment,like .
 
Vitu unavo viogopa sio Bora kuviogopa .

Maisha bila kuingia kwenye mifumo utaishi ila utatumia nguvu Sana .

Maisha bila mifumo utapambana lakini kiwango Cha uwekezaji akitafanana na matokeo ,uwekezaji mkubwa matokeo madogo .

Kuna watu sio watu wametumwa kuchukua na kuzifukia nyota za watu duniani .

Kuna watu ukillaa nao tu Mambo lazima yaharibike na nikwasababu unasikiliza Sana kichwa chini kuliko kichwa Cha juu .

Umekatwa kichwa ingawa bado unatembea barabarani ,kibali kinaondoka neema inaondoka ,uzito unaondoka unakuwa mtu wa kawaida wakati ulipangiwa kuwa mtu mkuu .

"Lazima uwe na pande mbili kwenye sarafu Moja "
 
Amani inavutia lakini usidanganywe.

*Amani mbaya Ni mbaya zaidi kuliko vita,Amani Ambayo Aina mabadiliko yoyote sio amani Ni uwongo"

Amani inakudhoofisha,inayovumilia kuzarauliwa udhalimu ,Ni kifo Cha pole pole .

Wapiganaji hufanikiwa katika mapambano ,sio kwakuridhika.

Wakati mwingine Ni muhimu kuchagua kutokuwa na amani badala ya faraja ,afadhali kupigania kilicho sawa kwenye maisha yako kuliko kuoza katika amani ya uwongo .

Je unatulia kwa amani mbaya???
 
KIFUNGO .
KIFUNGO Ni Moja ya sababu kuu ya kukataliwa ,kupigania Uhuru wako Ni kupigania maisha yako .vifungo vimezuiya ukuu wako .

Kazi ya KIFUNGO Ni kumpunguzia mtu mwendo ,ukishindwa vifungo maisha yako yatakuwa na spidi ,kuchelewa ni kionyeshi kinacho onyesha una KIFUNGO .

Kuna neema mnazo amjazitumia bado , kwasababu ya vifungo :kazi ya vifungo Ni kuzuiya neema ya mtu .

Kuna kile ulicho umbiwa autakiishi Ni adi umefunguliwa.

Wewe sio kwaaajili yako wewe Ni kwaajili ya wengine ,vifungo vitakufikisha watu wasikufaidi .

Aliyefungwa maana yake Ni hodari. ufungwa watu hodari ,kifungo ulimiti maisha ya mtu.
 
💯 Zinausiana na ninacho kisema apa,na kabla ya ya Yote unatakiwa uwe mtu safi kiroho ad kimwili
Usafi wa kiroho! Na kimwili, mbona Kama ni vitu vya masharti!! Mbona Kuna matajiri wakubwa tuuu ni wagoni sana!! Na wanatumia pombe sana... Je ni usafi gan huo
 
Ivi unajua umasikini una viwango ,Kuna umasikini ambao wewe tu ndo unajua Ni masikini lakini kuna umasikini ata masikini anajua wew Ni masikini .

Mpambanaji Ni mtu anayojua anachotaka maishani ,uwezi kuwa mpambanaji Kama utakuwa Ni mtu wa kubahatisha ,uwezi kuwa mpambanaji Kama utakuwa Ni mtu wa kufata mkumbo .

Masikini amejaa kulalamika manun'guniko roho ya kukataliwa ,aukataliwi wewe unakataliwa umasikini wako ,Nani anamkataa Mtu mwenye pesa .

Mama yako anaumwa unapesa ya kumsaidia anakufa unamuona ,baba yako anaumwa anakufa una pesa ya kumsaidia ,Mama yako anakuomba auna pesa ya kumtumia mpaka lini Sasa ,matatizo yako ndiyo yanatakiwa yakushawishi uanze kufanikiwa na kuwa na pesa.
 
Usafir wa kiroho! Na kimwili, mbona Kama ni vitu vya masharti!! Mbona Kuna matajiri wakubwa tuuu ni wagoni sana!! Na wanatumia pombe ... Je ni usafi gan huo
Huo wa Giza izi Mimi nazungumzia wa nuru
 
Basi muwe mnatoa na credit kwa walioandika hizi mada sio una google translate tu unaifanya mada yakwako kama The bold na Yericko Nyerere.

Toa credit kwa Michelle Price mkuu hii artical ni yake.
 
Ntaeleze leo kwann watu wengi kushusha wanakujaga na kuchukua viumbe mwishowe viumbe wale Wana ondoka na kumuacha mjinga na ujinga wake kwann?.

Watu wengi wanapokeaga kutoka viumbe awo lakini Awana hekima ya kuvitunza walivyo vipokea kwasababu maisha yake yanapo badilika muhemko unamkamata na kusahau alipotoka.

Kupokea kunaweza kukawa rahisi lakini kukitunza ulichopewa kikapiga wengi chenga .

Inahitaji hekima Sana kutunza ulicho pewa ,sio Kila apokeaye anaweza kudumu nacho .
 
Uwezi kufanikiwa zaidi ya wazazi wako Kama autokuwa sirious na maisha yako uwezi kufanikiwa .

Utajiri na mauza uza ni mapacha wanao fanana ili upande level kimaisha lazima uvione vitu ambavyo ujawai kuviona ."ungekuwa unajua anachokula Nyuki usingethubutu kusema asali Ni tam.ndio utajiri uwo.

Na mauza lazima uwone kwasababu ili uwe mkuu lazima uwone vitu ambavyo avipo kwenys uhalisia wa macho ya dam na nyama ili uwe kwenye uhalisia

Ili ufanikiwe lazima uwe na nidham na nidham maana yake Ni kutii sheria na kanuni ata Kama zingine zinaenda tofauti na matakwa yako ,wanajeshi wanajua vizuri Sana .

"Mungu alitupa zawadi ya uzima tu;Ni juu yetu kujipa zawadi ya kuishi vizuri "
 
Vitu ambavyo avivutii ndivy vilivo ficha Siri ya mafanikio.

Ukiangalia asali ilivyo tam lakini mchakato wa asali adi iwe tam mchakato ule uwa hauvutii kwasababu atakusanya ata mavi na mkojo.

Kuna watu wanataka ile asali iyangukie kwake bila ya mchakato na mchakato uwo uwe niwakujirudia rudia

Hapo ndipo Kuna mafanikio na mtu anakwepa kwasababu haivutii

Na ili uwe tajiri lazima ujitofautishe na utajiri ndio maana ili uweze kuwa control watu lazima ujitofautishe na wale watu ,ndio maana unaona matajiri wengi wako Kama masikini ivi ,na masikini na yeye Yuko Kama tajiri ivi ,
 
Uwezi kupata mafanikio kwa uchawi wa kawaida uwo ,mpaka saivi umejifukiza Mara ngapi,mpaka saivi umeoga dawa Mara ngapi ,mpaka saivi umepasua Nazi Mara ngapi

,ukifanya ivi mambo yatanyooka wiki badae hali inakua ile Ile kwasababu uchawi wa kawaida uwo

,Bora nikuambie ukweli utakao huzunisha nafsi yako na kukupa mafanikio kuliko uwongo utakao furahisha nafsi yako bila kubadili maisha yako

,ukiwa unataka upande level ya kimaisha lazima ufanye vitu vitakavyo huzunisha moyo wako na kuboresha maisha yako .

Usione watu wanafanya vitu vikubwa na kufanikiwa ukafikiri walifanya kwa kufikiria uwa wanaambiwa Cha kufanya kutoka kwenye ulimwengu mwingine .

Taa Ina kusubiri uswitch on uwone mwanga au uwache uwe ivyo ivyo ulivyo taa uwa aina shida mwenye shida Ni muwasha taa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…