mnajua nyie mnaotafuta waganga sjui mnakuaga mnawashwa hebu fungukeni akili huwez toka mkoa fulani kwenda mkoa mwingine kufuata mganga wakati hata masharti hujui ni namna gani ya kuyasikiliza msidhani kila mtu anaenda kwa mganga anafanikiwa kisa mganga wa kweli wengi wanafeli kwenye masharti hasa swala la usafi.
Jambo jingine unamuelekeza mtu mazingira hadi namba za mtaalamu unampa ila bado atakuuliza maswala ya kijinga kama vile hakua na shida hvi unaweza amini kuna watu hawaez hata kujieleza kwa shida zao na huwez fanikiwa kama hutajieleza vizuri. unakuta mtu anatafta mali kwa waganga ila haongei yy anatarajia sjui mganga atampa tu mali bila yy kusotea kilinge.
Pia mtambue unapoenda kwa mganga kuna mambo ya msingi lazima uyafanye kwanza ndipo uendelee na kile unachotaka huwez fika kwa mganga unataka mambo yako yanyooke ila bado hujajisafisha na kujitia kinga hapo hata mganga akikupa dawa zinaweza zisifanye kazi kwakua una vitu vingi vingine vishaharibu dawa yaani kuna mambl mengi ila cha msingi tulizeni akili uchawi upo waganga OG wapo ni ww tu na haraka zako au umakini wako utakufanya ufurah au uone umeliwa