Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ukitaka utajiri wa haraka hivyo wewe kakwibe tu,na kama upo Moshi huenda umesahau maana ya MOSHI(Mungu Onyesha Hela Ilipo)🚶Habari ya wakati huu ndugu, kama unamjua mganga popote hapa TANZANIA mwenye uwezo wa kumfanya mtu apate mali (PESA) Kwa njia yoyote au freemason na una uhakika 100% tafadhali unisaidie kunielekeza. Natafuta sana hilo jambo
Nipo Moshi
0748 605 404