Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Watu wa mikoani tunamfuata mganga konki Mr mwamposa huko kwenu saridalama alafu wewe unatuuliza tena sisi?
 
Wakuu mambo vp?

Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!

Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.

N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
Tatizo gani
 
Andika hilo tatizo Pm.
 
Back
Top Bottom