Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
ππππSawa semaji π€£π€£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππSawa semaji π€£π€£
Mtumie PM BIN NUN yupo humu atakusaidia Mkuu kama imani yako katika kutatua matatizo yako itaisha kupitia WataalamuWakuu mambo vp?
Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!
Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.
N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
Nimemtumia PM namba ya Mwenyekiti wa Waganga Mkoa fulani hivi π π πPage ya tisa hakuna namba ya mganga konki hakuna koneksheni.....Wana acheni uchoyo
huyu namtaka nikamwone... nimempenda.Ndo unipe connection mjamaa,kuhusu waganga fake nawajua kuna mmoja huyo nilienda yupo vingunguti nikamwambia mganga naomba unipige ramli.
Jamaa anaanza kuniambia oohh unasumbuliwa na mapenzi sijui unafanya biashara za mitumba aisee NILIANGUA KICHEKO KISHA NIKAONDOKA...alivyosema tofauti na nilivyoviendea
Shida yako nishaijua kabla hata hujasema. Njoo PM kwanzaWakuu mambo vp?
Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!
Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.
N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
Daaahhh sa tutafanyaje π95% siku hizi ni wapigaji na hao halisi dawa wanazotumia hazina nguvu tena kutokana na mazingira ya dunia kubadilika sana kutokana na ardhi kunajisiwa sana
[emoji1787][emoji1787]Hivi jamii forums haina uwezo wa mtoa uzi ablock koment asizozitaka kwenye uzi wake...maana kuna raia vichwa ngumu kwel[emoji35]
Chumvi na MunguDaaahhh sa tutafanyaje [emoji17]
Marahaba jiraniSijambo jirani, shikamoo
KAMA UNAITAJI KWELI NICHEKIChumvi na Mungu
Kampuni inaibiwa million 20 inatoa tangazo kwenye mitandao na donge nono linatangazwa we hujiulizi kwa nini hilo donge nono lisipelekwe kwa mganga wamnase huyo mwizi?Wakuu mambo vp?
Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!
Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.
N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
[emoji1][emoji3][emoji3][emoji1][emoji3][emoji16]Nimefika aseme shida yake
Shukran kaka ngoja niende piemuNimemtumia PM namba ya Mwenyekiti wa Waganga Mkoa fulani hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana mimi sihitaji mganga asante[emoji1545]KAMA UNAITAJI KWELI NICHEKI
Kaka pambania matatizo yako humu mtandaoni wanajifanya wote Walokole na Wanaimani sana za kidini kumbe ni uongo mtupu π π πShukran kaka ngoja niende piemu
Sasa Mkuu kwenye Kampuni kunakuwa na watu wenye imani tofauti na kila mtu na fikra zake. Mbona Uswazi juzi kati hapa kuna Dryer za Saloon ziliibiwa likatolewa tangazo siku 3 vifaa virudishwe lasivyo tusije laumiana. Siku 3 zikapita hakuna kilichorudi baada ya siku mbili wale Wezi walirudisha wenyewe vile vitu huku wakiwa Wamechakaa wamekuwa na manyonya kama Mbwa. Usicheze na Imani Mkuu.Kampuni inaibiwa million 20 inatoa tangazo kwenye mitandao na donge nono linatangazwa we hujiulizi kwa nini hilo donge nono lisipelekwe kwa mganga wamnase huyo mwizi?
WAGANGA, WACHUNGAJI, MUNGU, ALBADILI, UCHAWI, MIZIMU NI VITU VYA DHAHANIA NA VINAMEA SANA KWENYE KICHWA CHA MWENYE LOW IQ KUPITIA STORY ZA VIJIWENI
UmeanzaHapana Mkuu, connection ipo kwa kila mtu mwenye uhitaji.
Nawe unataka ya utajiri au ipi?π
Wakuu mambo vp?