Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya kihenga[emoji38][emoji38][emoji38]Mficha uchi hazai eleza tatizo lako mkuu acha kuzunguka mbuyu penye wengi pana mengi.
Wewe kumbe nili- PIMBI kiasi hiki? Direct to my ignore listKampuni inaibiwa million 20 inatoa tangazo kwenye mitandao na donge nono linatangazwa we hujiulizi kwa nini hilo donge nono lisipelekwe kwa mganga wamnase huyo mwizi?
WAGANGA, WACHUNGAJI, MUNGU, ALBADILI, UCHAWI, MIZIMU NI VITU VYA DHAHANIA NA VINAMEA SANA KWENYE KICHWA CHA MWENYE LOW IQ KUPITIA STORY ZA VIJIWENI
[emoji38][emoji38][emoji38] hivi Mshana Jr umewahi kukasirika humu JF kweli? Niliona mahali ulisema kuna member sijui mgeni aliwahi kukuita dogo wa form 4 humu[emoji38][emoji38][emoji38]Hapana mimi sio kigagula na wala sio bonge
Kivule mn.... Nini?!!!nyuma ya kananura schools Mzee anaepiga Dili na wazee wa ngada!!anapita nao airport hawakamatwi yule Mzee nomaaa kabisaaVingunguti yupo mmoja TU tena mmama,kadai pesa kubwa ef2 waliobaki matapeli.Na ukiwa mtaalam mganga muongo utamjua.Mwingine yupo kivule uyu mpaka kuua anaua
Na kilammoja apo anaujuzi wake maalum ungesema umekwama kipengele gani.Wanazidiana ujue
Mkuu KOLELO ulienda MWAKA GANI hukoNiliwahi kuwa mhanga wa kutafuta wa ganga kama ulivyo wewe ,nilifanikiwa ila nilipoteza pesa nyingi. Kawaida uganga ni fani pana sana,wapo waganga wabobezi wa kitu kimoja na wengine wanatibu mambo mengi kwa pamoja ,Ila kundi hili ndio na waganga wa mchongo wako wengi sana.
...
Mkuu naomba connection hii Nina ndugu yangu mwaka wa sita huu haoni, nae ilitokea ghafla tu, tumezunguka Sana kwa wataalam Sana na hospitali tukishauriwa hivi hivi Ila tumechemkaNiliwahi kuwa mhanga wa kutafuta wa ganga kama ulivyo wewe ,nilifanikiwa ila nilipoteza pesa nyingi. Kawaida uganga ni fani pana sana,wapo waganga wabobezi wa kitu kimoja na wengine wanatibu mambo mengi kwa pamoja ,Ila kundi hili ndio na waganga wa mchongo wako wengi sana...
Utapigwa na kitu kizito...!!Mpendwa fungua pm yako tafadhali
😂😂😂Huku tutakutapeliMafinga, Njombe
Wapo wanaotoa codes za ukweli.😂😂😂Huku tutakutapeli
Coca mi nahitaji connection please nimepatwa na majanga.Dea mie ningekupa no ya yule mtaalamu, ila sasa ameshasafiri kurudi kwao Msumbiji yule ni kibokooo,
Nilikujibu PM afu.
Kazi ipoUtapigwa na kitu kizito...!!
Hilo linawezekana sana tuu,Dr anapokupima halafu haoni tatizo anaweza kukueleza tuu tafuta tiba mbadala hii sio ya hospital,kuna nchi kusini mwa Africa hospital kuna kitengo kabisa cha waganga wa kienyejiHEe...yaani Dk akawashauri mtafte mganga wa kienyeji!? Aise..hongera kwa kupona
Huamini ushirikina halafu unasikitika baada mgonjwa kufa?,inawezekana wakati akiwa mzima mlishauriwa muende kwa waganga mkapuuzia kwa kusema hamuamini ushirikinaSiamini ktk kuutegemea ushirikina ila dawa za asili ambazo hazihusishi ushirikina naweza kutumia...
Bublia imeandikwa na watu na biblia hizo ni mila za warumi, embu niambie hao wote unaowasoma kwenye biblia kuna ambae yupo hai?Mkuu, Biblia imesema amelaaniwa mtu awaye yoyote yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, na moyoni mwake amemwacha Bwana. Achana na ulozi mkuu. Mwisho wake ni mbaya sana.
Mnaitumia vibaya hiyo bibliaMkuu, Biblia imesema amelaaniwa mtu awaye yoyote yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, na moyoni mwake amemwacha Bwana. Achana na ulozi mkuu. Mwisho wake ni mbaya sana.
Huku kuzuri sana ngende.Naanza kuunganisha dots sasa, wimbo wa killy × harmonize jamaa anaanza na verse kama mapenzi uchawi basi umeniendea ngende