Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Nenda KWA shetani direct kama mawakala wake wameshindwa kukusaidia
 
Kampuni inaibiwa million 20 inatoa tangazo kwenye mitandao na donge nono linatangazwa we hujiulizi kwa nini hilo donge nono lisipelekwe kwa mganga wamnase huyo mwizi?
WAGANGA, WACHUNGAJI, MUNGU, ALBADILI, UCHAWI, MIZIMU NI VITU VYA DHAHANIA NA VINAMEA SANA KWENYE KICHWA CHA MWENYE LOW IQ KUPITIA STORY ZA VIJIWENI
Wewe kumbe nili- PIMBI kiasi hiki? Direct to my ignore list
 
Vingunguti yupo mmoja TU tena mmama,kadai pesa kubwa ef2 waliobaki matapeli.Na ukiwa mtaalam mganga muongo utamjua.Mwingine yupo kivule uyu mpaka kuua anaua
Na kilammoja apo anaujuzi wake maalum ungesema umekwama kipengele gani.Wanazidiana ujue
Kivule mn.... Nini?!!!nyuma ya kananura schools Mzee anaepiga Dili na wazee wa ngada!!anapita nao airport hawakamatwi yule Mzee nomaaa kabisaa
 
Niliwahi kuwa mhanga wa kutafuta wa ganga kama ulivyo wewe ,nilifanikiwa ila nilipoteza pesa nyingi. Kawaida uganga ni fani pana sana,wapo waganga wabobezi wa kitu kimoja na wengine wanatibu mambo mengi kwa pamoja ,Ila kundi hili ndio na waganga wa mchongo wako wengi sana.
...
Mkuu KOLELO ulienda MWAKA GANI huko
 
Niliwahi kuwa mhanga wa kutafuta wa ganga kama ulivyo wewe ,nilifanikiwa ila nilipoteza pesa nyingi. Kawaida uganga ni fani pana sana,wapo waganga wabobezi wa kitu kimoja na wengine wanatibu mambo mengi kwa pamoja ,Ila kundi hili ndio na waganga wa mchongo wako wengi sana...
Mkuu naomba connection hii Nina ndugu yangu mwaka wa sita huu haoni, nae ilitokea ghafla tu, tumezunguka Sana kwa wataalam Sana na hospitali tukishauriwa hivi hivi Ila tumechemka
 
Salaam kwa wote mliopo humu!

Nimezingirwa na spirit za ajabu ajabu sana na hili linanipa shaka na hofu hivyo pia adui zangu wananipa na wamenipa hasira kubwa kwani sitaki kumuachia mungu hili tena acha niende extra miles kupambana na adui zangu....Adui zangu wamenipiga mpaka nimechoka na wamenifanyia makubwa nisiyoweza kutaja hapa lazima niweke codes kwa mabaya hayo ili adui asisande.......

Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu natafuta fundi wakunikinga na kupambana na adui zangu maana simuachii mungu tena kama nilivo sema i must go extra miles.....
Ni wapi au ni mikoa na maeneo yapi nitapata mafundi wa ukweli na wabobezi katika hii mikoa.

1.Kilwa masokwa/kivinje.
2.Tanga Pangani.
3.Bagamoyo Pwani.
4.Sumbawanga.
5.Mbeya sijui ni wapi??
6.Mafinga, Njombe...
7.Kanda ya kati....
8.Same na Mwanga.
9.Kigoma.
10.Tabora.
11.Manyara pia nilisikia wana uchawi wa kitofauti na afrika.
12.Au nivuke Congo huko au malawi na kwingineko. Au nivuke zanzibar wakuu napona vipi???

Wapi ni wapi wakuu fundi naamini hii connection itaokoa na wengine humu.

ANGALIZO:
NGONJERA ZA WAHUBIRI ZISIJE HAPA YAANI WAHUBIRI PITENI KIMYA KIMYA HAPA.
 
HEe...yaani Dk akawashauri mtafte mganga wa kienyeji!? Aise..hongera kwa kupona
Hilo linawezekana sana tuu,Dr anapokupima halafu haoni tatizo anaweza kukueleza tuu tafuta tiba mbadala hii sio ya hospital,kuna nchi kusini mwa Africa hospital kuna kitengo kabisa cha waganga wa kienyeji
 
Siamini ktk kuutegemea ushirikina ila dawa za asili ambazo hazihusishi ushirikina naweza kutumia...
Huamini ushirikina halafu unasikitika baada mgonjwa kufa?,inawezekana wakati akiwa mzima mlishauriwa muende kwa waganga mkapuuzia kwa kusema hamuamini ushirikina
 
Mkuu, Biblia imesema amelaaniwa mtu awaye yoyote yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, na moyoni mwake amemwacha Bwana. Achana na ulozi mkuu. Mwisho wake ni mbaya sana.
Bublia imeandikwa na watu na biblia hizo ni mila za warumi, embu niambie hao wote unaowasoma kwenye biblia kuna ambae yupo hai?
 
Mkuu, Biblia imesema amelaaniwa mtu awaye yoyote yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, na moyoni mwake amemwacha Bwana. Achana na ulozi mkuu. Mwisho wake ni mbaya sana.
Mnaitumia vibaya hiyo biblia
 
"Mganga kasema tukiacha Uvivu tutafanikiwa"
 
Back
Top Bottom