jangoma
Member
- Sep 24, 2023
- 64
- 216
Njoo pmMkuu nipe na mm connection please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo pmMkuu nipe na mm connection please.
Nenda,Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia familia yangu.
Baada ya mwanzo mzuri sana wa biashara yangu ilianza kufa ghafla na imedidimia hadi leo. Nakaa kuhesabu boda boda zikipita njee ya barabarani
Nisaidieni kupata mganga mzuri mwenye kuweza kunirudisha vizuri kiuchumi.
pliz naomba usiwe mzito kunisaidia.
AddNimewaita mkuu ngoja waje
mganga emanueli
MGANGA KOLOMBOSTIKA
MGANGA MCHAWI
Mganga wa Jadi
mganga wa roho
Haya sawa lipia tangazo sasaSema wewe umekutana na matapeli acha ku generalize.
Kwa kuwa wewe umeshindwa kutatuliwa matatizo yako na hao waganga njaa haimaanishi waganga wenye nguvu na uwezo hawapo.
Umeeleza vyema na haki kabisa lkn jamaa anahitaji mganga konki... tafadhari mpe ushirikiano mkuu kwa Baba paroko ataenda tu hata kwenda kubariki ndoa yake.....Mkuu hali unayopitia ilinikuta pia
Nilikuwa nafanya biashara na Nilifanikiwa kwa muda mchache sana ndani ya miaka mitatu ya mwanzo nilifanikiwa kuwa na hifadhi ya Hela iliyoniwezesha kujenga nyumba ya ndoto zangu,,kutokana na mafanikio ya hara wapo baadhi ya Wadau walidhani natumia Dawa(ndumba)wengi walikuwa wanaomba niwapeleke nilipoenda hata kuwa tajiri gafla katika umri wa chini ya miaka 30. Ila ukweli sikuwa kumjua mganga kabla wala kutumia ndumba zilikuwa baraka tu za MUNGU baada ya ule ujenzi tu nikaongeza Biashara ingine ya kuuza Mbao nilikuwa nafata mzigo Mafinga shambani nanunua Miti nikifikisha Mkoa ninaoishi nikawa nauza Mbao kwa gharama nafuu mnoo ikapelekea Wauza mbao wengine kuwa matatani maana ilikuwa kila mtu ni kwangu(Navunja Bei) na hili ndo likawa chanzo cha Mkosi,,wale watesi wangu walijaribu kuniangusha mimi wakashindwa nadhani labda Malaika/Mizimu ya ukoo iliamua kunilinda ila wakaagusa biashara nilishangaa tu hela zinapotea bila kujua na cha ziada mimi biashara zangu zipo eneo moja zote nasimamia mwenyewe hela napoweka najua mwenyewe na Siishi na Mwanamke kuwa labda alikuwa ananiibia hela zilipotea ndani ya mwaka mmoja nikajikuta mtaji wa Mbao umekufa nimebakiwa na biashara moja niliyoanza nayo ila nayo ipo hoi nikaingia kwenye madeni makubwa,,nilibahatisha jamaa mganga akanidanganga akanipa vidawa havikusaidia
Kufupisha stori hawa watu ni kama walinifunba macho maana napitia magumu ya kupoteza hela ila simwambii mtu siku hiyo wazo likanijia kuna shangazi yangu mtu wa kanisa sana nikaenda kwke nikamuelezea mwanzo mwisho hadi namaliza machozi yakawa yanamtoka tu alilia sana sababu nilikuwa moja ya wana familia ambao nilikuwa nawasaidai sana baadhi ya ndugu wanapokuwa na matatizo akanambia naomba leo niache nitasali usiku asbuhi nitakupa Jibu asbuhi akaniita kwake akanambia twende kanisani tukakutane na Baba Paroko tukaenda akanambia nimweleze Paroko mwanzo mwisho nikamueleza kila kitu Baba paroko alisikitika akaniambia nimpe siku tisa afunge na kusali novena atakuja na majibu
Baada ya Siku tisa aliinita akanambia ameoteshwa kuwa wakati naanza ujenzi kuna jirani mmoja tulipishana juu mpaka akanishtaki badae nikamshinda aliniwekea kisasi badae kuna biashara nikaanzisha ambayo iligusa maslahi ya watu wengine wakataka kuniangamiza kabisa ikashindikana wakaamua kunitegea kitu cha kuninyonya anadai yule jirani aloniwekea kisasi alishirikiana na jamaa alokuwa ndo Masta wa biashara mpya niliyoanzisha wakafanikiwa hilo
Mimi baada ya kuunganisha doti kweli nikakumbuka kuna Jamaa mmoja Mpare tulizinguana kisa mpaka wakati najenga na Biashara nilioanzisha nikateka Jiji ilikuwa ya Mbao
Baba paroko akanambia hakuna haja ya kugombana nao akanipatia Biblia,Rozari,Maji ya baraka,kuna udongo wa bethelehem,mawe flani ya huko huko bethelehem,na ubani flani akanipa mistari ya biblia ya kusoma kila siku vile vitu akanilekeza pakuwekea nyumbani na kazini pia nikawa na maombi maalumu ya siku 14(mimi,yeye na shangazi)
Aloo hakuna mganga kama MUNGU baada ya pale nilijikuta mambo yanarudi mdogo mdogo kuna deni la Bank nikalipa,kuna jamaa zangu walikuwa wananidai 10M nikalipa biashara ikarudi Kwenye mstari na kama miujiza mingi tu ikanipitia pitia ila nakumbuka kuna wakati ulifikaga nilitamani Kujinyonga nilitamani kifo na hakikuja ila kwa sasa Namwinua Mungu
Pole Sana kaka utafutaji una changamoto nyingi wajasiriamali tuna UpSide down nyingi
NAKUOMBEA UVUKE MAJARIBU SALAMA
Added successfully
Nimejifunza Kwako brother YESU KRISTO NDIO NJIA, KWELI NA UZIMAMkuu hali unayopitia ilinikuta pia

Nipm namba yake basi mkuu😀😀😀Mkuu hapa watakudanganya waganga wapo na wengi humu wanaendaga, si wanawake wala wanaume ila siri zao.!!
Njoo nikupeleke Kigoma nguruka uko ukaoshwe utoe nuksi wateja watamiminika mpk ushangae.
Naombeni ulinzi wa comment yangu 🤣
Nenda vijijini ndanindani huko, haswa Tanga ,tabora ,sumbawanga na mtwara.Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia familia yangu.
Baada ya mwanzo mzuri sana wa biashara yangu ilianza kufa ghafla na imedidimia hadi leo. Nakaa kuhesabu boda boda zikipita njee ya barabarani
Nisaidieni kupata mganga mzuri mwenye kuweza kunirudisha vizuri kiuchumi.
pliz naomba usiwe mzito kunisaidia.
Mganga ''Mungu'' unamwomba kwa mawe na udongo?Mkuu hali unayopitia ilinikuta pia
Nilikuwa nafanya biashara na Nilifanikiwa kwa muda mchache sana ndani ya miaka mitatu ya mwanzo nilifanikiwa kuwa na hifadhi ya Hela iliyoniwezesha kujenga nyumba ya ndoto zangu,,kutokana na mafanikio ya hara wapo baadhi ya Wadau walidhani natumia Dawa(ndumba)wengi walikuwa wanaomba niwapeleke nilipoenda hata kuwa tajiri gafla katika umri wa chini ya miaka 30. Ila ukweli sikuwa kumjua mganga kabla wala kutumia ndumba zilikuwa baraka tu za MUNGU baada ya ule ujenzi tu nikaongeza Biashara ingine ya kuuza Mbao nilikuwa nafata mzigo Mafinga shambani nanunua Miti nikifikisha Mkoa ninaoishi nikawa nauza Mbao kwa gharama nafuu mnoo ikapelekea Wauza mbao wengine kuwa matatani maana ilikuwa kila mtu ni kwangu(Navunja Bei) na hili ndo likawa chanzo cha Mkosi,,wale watesi wangu walijaribu kuniangusha mimi wakashindwa nadhani labda Malaika/Mizimu ya ukoo iliamua kunilinda ila wakaagusa biashara nilishangaa tu hela zinapotea bila kujua na cha ziada mimi biashara zangu zipo eneo moja zote nasimamia mwenyewe hela napoweka najua mwenyewe na Siishi na Mwanamke kuwa labda alikuwa ananiibia hela zilipotea ndani ya mwaka mmoja nikajikuta mtaji wa Mbao umekufa nimebakiwa na biashara moja niliyoanza nayo ila nayo ipo hoi nikaingia kwenye madeni makubwa,,nilibahatisha jamaa mganga akanidanganga akanipa vidawa havikusaidia
Kufupisha stori hawa watu ni kama walinifunba macho maana napitia magumu ya kupoteza hela ila simwambii mtu siku hiyo wazo likanijia kuna shangazi yangu mtu wa kanisa sana nikaenda kwke nikamuelezea mwanzo mwisho hadi namaliza machozi yakawa yanamtoka tu alilia sana sababu nilikuwa moja ya wana familia ambao nilikuwa nawasaidai sana baadhi ya ndugu wanapokuwa na matatizo akanambia naomba leo niache nitasali usiku asbuhi nitakupa Jibu asbuhi akaniita kwake akanambia twende kanisani tukakutane na Baba Paroko tukaenda akanambia nimweleze Paroko mwanzo mwisho nikamueleza kila kitu Baba paroko alisikitika akaniambia nimpe siku tisa afunge na kusali novena atakuja na majibu
Baada ya Siku tisa aliinita akanambia ameoteshwa kuwa wakati naanza ujenzi kuna jirani mmoja tulipishana juu mpaka akanishtaki badae nikamshinda aliniwekea kisasi badae kuna biashara nikaanzisha ambayo iligusa maslahi ya watu wengine wakataka kuniangamiza kabisa ikashindikana wakaamua kunitegea kitu cha kuninyonya anadai yule jirani aloniwekea kisasi alishirikiana na jamaa alokuwa ndo Masta wa biashara mpya niliyoanzisha wakafanikiwa hilo
Mimi baada ya kuunganisha doti kweli nikakumbuka kuna Jamaa mmoja Mpare tulizinguana kisa mpaka wakati najenga na Biashara nilioanzisha nikateka Jiji ilikuwa ya Mbao
Baba paroko akanambia hakuna haja ya kugombana nao akanipatia Biblia,Rozari,Maji ya baraka,kuna udongo wa bethelehem,mawe flani ya huko huko bethelehem,na ubani flani akanipa mistari ya biblia ya kusoma kila siku vile vitu akanilekeza pakuwekea nyumbani na kazini pia nikawa na maombi maalumu ya siku 14(mimi,yeye na shangazi)
Aloo hakuna mganga kama MUNGU baada ya pale nilijikuta mambo yanarudi mdogo mdogo kuna deni la Bank nikalipa,kuna jamaa zangu walikuwa wananidai 10M nikalipa biashara ikarudi Kwenye mstari na kama miujiza mingi tu ikanipitia pitia ila nakumbuka kuna wakati ulifikaga nilitamani Kujinyonga nilitamani kifo na hakikuja ila kwa sasa Namwinua Mungu
Pole Sana kaka utafutaji una changamoto nyingi wajasiriamali tuna UpSide down nyingi
NAKUOMBEA UVUKE MAJARIBU SALAMA
Binafsi sina conection ya mganga maana niliekutana nae wakati wa matatizo hakuna alichonisaidia zaidi ya kunipa masharti ya kiwaki tu mfano alinambia nisiwe nafagia eneo langu la kazi kwa mafagio haya marefu ya kichina nitumie yale mafagio ya zamanii yanauzwaga Jero,akanipa dawa ya kuchanganya wakati nadeki na ziada alinambia alonicheze ni mwanamke tuliogombana ukicheki sa hiyo mademu ninao zaidi ya mmoja na kuzinguana nishazinguana nao kibao akanambia ndo chanzo cha misalaUmeeleza vyema na haki kabisa lkn jamaa anahitaji mganga konki... tafadhari mpe ushirikiano mkuu kwa Baba paroko ataenda tu hata kwenda kubariki ndoa yake.....
HakikaNimejifunza Kwako brother YESU KRISTO NDIO NJIA, KWELI NA UZIMA
Mimi mashitaka yote naweka kwake na ukimuamini kila kitu kinakua sawaa
Usisome kumaliza,soma kuelewaMganga ''Mungu'' unamwomba kwa mawe na udongo?
ASANTE SANA mwenyezi Mungu akubariki daima 🙏🙏Hakika
Na ndugu yangu leo akipata wasaa asome zaburi ya 35 yote,zaburi ya 40,,zaburi ya 22,,zaburi ya 6 na zaburi ya 7
Wewe unamkataza kuwa shabiki wa Simba ila unamwambia awe shabiki wa Yanga.Before uende kwa mganga jiulize hili, unataka permanent solution au temporary.
Permanent, ---- Mrudie Mungu itachukia muda ila ukiwa mvumilivu utafanikiwa.
Temporary----- Nenda kwa mganga ila jiandae kuwa mtumwa wa mambo hayo na Hali yako in nearest future itakua mbaya kuliko uliyonayo hivi sasa.
Toa sadaka tu sadaka inaleta baraka pia ni kinga nzuri sana.Nisaidieni kupata mganga mzuri mwenye kuweza kunirudisha vizuri kiuchumi.