Natafuta mji mtulivu wa kwenda kupumzika kwa mwezi mmoja

Kwa mimi napendekeza bukoba na kigoma..kusema ukweli ni miji iliyotulia sana..hakuna vurugu kama dsm..hali ya hewa safi..chakula cha kutosha beach nzuri..i wish nihamiage uko kimaisha..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pitia uzi huo chini kuangalia mahali na vivutio vingi ambavyo unaweza kuchagua kwenda kutembelea.

Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au aje Nyalikungu,,Ni pazuri na patulivu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…