Natafuta Mke aliye makini, aliyemaliza mambo yake na si msumbufu

Habari,

Mimi nina umri wa miaka 40, natafuta mke asiezidi miaka 35, dini yoyote, kabila lolote, rangi awe mweupe. PM ipo wazi kwa aliye makini, aliyemaliza mambo yake, siitaji msumbufu uko nishatoka.

Akiwa na biashara au mfanyakazi, au mama wa nyumbani.
Ngoja aje single mama, then utakuja mwakani kuomba ushauri tukutukane
 
Mbona tunavunjana moyo mkuu? Uko ilikotoka. Nshavurugwa saaaana naitaji utulivu wa moyo, maisha yenyewe mafupi, angalau nipate wa kuendana nae, sio stress juu ya stress. Inshallah kwa uwezo wa Allah atakuja tu. Subira huvuta kheri. EID MUBARAK KWA WAISLAM WOTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu wa kukutia moyo ni yule ambaye utaona yeye mwenyewe anakufata, anaishi kadri ya uwezo wako, hata usipomstua wewe utamuona malangoni mwako, yaani kiufupi anakupenda na yuko tayali Kwa mvua na jua, rejea kwa Dr Nandipa wa huko South Africa alichofanya Kwa mwanaume wake ambaye ni mharifu,ndo utajua mapenzi ya mwanamke asiye weza kukutenda yukoje,ila ukimtafuta humu nakwambia utakoma
 
Daaaah, ngoja niiweke hii, yakinikuta ntaleta mrejesho, pindi mwaka au miaka tutakapokua hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom