Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Status
Not open for further replies.
hali ya uchumi inakabaaa.. sana. nitampeleka hapo zanzibar kuna hotel nzuri apigwe na upepo wa bahari😅😅😅
😆 Mpeleke bahari safi nishawahi mpeleka Bagamoyo baharini watu wanavua samaki maeneo hayo njia nzima ni harufu ya shombo la samaki

Ile harufu ilitoka baada ya kujisugulia na white vinegar.
it's nice thing to do man. Wish you best. .
 
Hivi serious unafika 30's years huna hata boyfriend, me Dada yangu kaolewa ana miaka 19 wakati ndio amemaliza tu diploma yake anasubir degree na kwa mtazamo Wang mapenz ni mazoea sio kitu cha siku moja ndio maan hata mzungu anampenda mwafrika kutokana na ucheshi na ndio maana waafrika wacheshi wanapataga burudani sana kulelewa.
 
Nimekaa hapa nasubilia kuolewa kuna mtu kaja kaniambia hivi , wewe umekaa hapa ukute mmeo amesha is tayar kawahiwa na mtu mwingine kwahiyo cha kufanya akijisogeza mme wa mtu nawe jisogeze ukute ndio mmeo huyo[emoji849][emoji849] kwahiyo mpaka sahiv nimekaa hapa nje natafakar haya maneno[emoji848][emoji848][emoji848]
 
kuna ukweli hapo....
 
Endelea kung'atwa na mbu
 
Ooh 1-0 kabla mechi haijaanz kila la kheri
 
hapo kwenye nina mtoto mmoja umesisitizia mara mbili. Ukipata mwanaume ambaye hapendi kiumbe cha Mungu achana nae hakufai kabisa. .

Natamani niwe na wake hata wanne. Ingekuwa vyema kanisa likahalalisha ndoa zaidi ya mke mmoja😀
Inasikitisha jinsia yako ,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…