Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Status
Not open for further replies.
Me nasubiri hadi mwezi wa 10 ndio natimiza 33 nitakutafuta kama bado utakuwa hujapata mume ila cha msingi palilia kabisa kaburi la aliyekuzalisha maana kuoa single maza ambaye aliyezaa nae yupo hai ni kama kulima miwa karibu na shule ya msingi.
 
Nimekaa hapa nasubilia kuolewa kuna mtu kaja kaniambia hivi , wewe umekaa hapa ukute mmeo amesha is tayar kawahiwa na mtu mwingine kwahiyo cha kufanya akijisogeza mme wa mtu nawe jisogeze ukute ndio mmeo huyo[emoji849][emoji849] kwahiyo mpaka sahiv nimekaa hapa nje natafakar haya maneno[emoji848][emoji848][emoji848]
Tatizo wanawake wa kitanzania sijui mpoje aiseee. Ni vigeugeu sana. M'mkekuzwa kushindwa kuongea kilichopo akilini na moyoni kwenye vinywa vyenu.

Mtu unashindwa kutumia akili yako kuconnect idea ya mapenzi ya kweli na maisha yako. Mnabakia kuigiza kuwa mnataka mapenzi ya kweli kumbe moyoni mnatafuta mfadhili au mtu mwenye pesa kumpelekea shida zenu ndogo ndogo na kubwa.

Wanawake wanaojua mapenzi ya kweli ni kitu gani huwa hawakai muda mrefu idle. Ila kuna ninyi sasa meneno ya ulalamishi ni mengi na kujisema sema as if ni kweli mna mioyo pure kumbe maigizo tu.

Sasa hapo subiri aje mtu mwenye dhamira nzuri ya kweli ya kutaka kuoa na kuweka ndani utaona utakavyoanza mizaha tena. Au unaingia kwenye mahusiano kama undercover agent anayekwenda kufanya special mission. Unaenda kukaa na mwanaume for your own gains na sio kwaajiri ya kujenga mahusiano imara.
 
Ila kweli yaani hapa nifanya mpango niopoe hata mchina anayejenga barabara anipeleke hata china[emoji16]
Msituletee Damu za hovyo, wewe huyo mtoto wa kichina utakuja mwambia nini baadae. Wewe unahisi utakwenda familia ya kichina watakukubali?!

Watakulamba makofi na wachina hata wawe masikini vipi hawatakagi jamii zingine nje ya mchina mwenzao wanakuchana live.
 
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari


Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza

Ushakula za uso sasa umerudisha mpira kati unataka yeyote ilimradi anapumua tu


Mnaringa sana mkiwa na umri mzuri wa kuanzisha familia

Mkishakuwa skrepa ndo mnakuja mbio mbio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunahitaji acc name yako ya zamani na picha ya kaburi la uliezaa nae
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari


Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom