Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Hapana nimekataaaAtaoa kwa lazima 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana nimekataaaAtaoa kwa lazima 😅
Tatizo wanawake wa kitanzania sijui mpoje aiseee. Ni vigeugeu sana. M'mkekuzwa kushindwa kuongea kilichopo akilini na moyoni kwenye vinywa vyenu.Nimekaa hapa nasubilia kuolewa kuna mtu kaja kaniambia hivi , wewe umekaa hapa ukute mmeo amesha is tayar kawahiwa na mtu mwingine kwahiyo cha kufanya akijisogeza mme wa mtu nawe jisogeze ukute ndio mmeo huyo[emoji849][emoji849] kwahiyo mpaka sahiv nimekaa hapa nje natafakar haya maneno[emoji848][emoji848][emoji848]
Msituletee Damu za hovyo, wewe huyo mtoto wa kichina utakuja mwambia nini baadae. Wewe unahisi utakwenda familia ya kichina watakukubali?!Ila kweli yaani hapa nifanya mpango niopoe hata mchina anayejenga barabara anipeleke hata china[emoji16]
- Kuna ambao husema | "Baba wa mtoto ametangulia mbele ya haki" | Hii ina maana baba wa mtoto hayupo | Na huu ndio muktadha wa hoja yanguhajasema ila kuna mtoto asiye na baba? lazima atakuwepo tu. .
Ha ha haNaona unataka kwenda kulelewa kimasikhara
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari
Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Nimeoa mzee nina mke na watoto. Atakubali uke wenza?Gily Mwachiluwi kidogo hapa hakuna masharti
Mtasaidia kulea watoto..Nimeoa mzee nina mke na watoto. Atakubali uke wenza?
Mwachiluwi sio muoaji wa kuolew leo wala kesho
Haha ndio tena nitampa mwanae urithi😀Mtasaidia kulea watoto..
Wewe mtu wa pili unataka nimuoe huyudada utanisaidia kuumwa UTI SUGU?Gily Mwachiluwi kidogo hapa hakuna masharti
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari
Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Atampata kwako luchaunawezaje kuwa siriaz na una mtoto mmoja tayari?
Dahhh!!toka jana unakimbia fursa🤣🤣Wewe mtu wa pili unataka nimuoe huyudada utanisaidia kuumwa UTI SUGU?
Nilivofika hapa tu nguvu za kuendelea zikaishaNina mtoto mmoja