GoodHB
Member
- May 21, 2022
- 35
- 18
Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani.
SIFA ZAKE
SIFA ZANGU
Kama ukiwa na sifa zote au pungufu kidogo njoo PM tukamilishe mazungumzo na kuanza taratibu za ndoa. Natamani tuoane mwaka huu huu, sina sababu za kusubiri tena.
Karibu sana nakusubiri babe wangu
SIFA ZAKE
- Awe smart kichwani na mwili.
- Awe mzuri (Muhimu sana)
- Mwili wa kike kweli kweli
- Asiwe mfupi (Lazima)
- Awe maji ya kunde/mweupe (Lazima)
- Asizidi miaka 34
- Kabila lolote
- Awe Mkristo (akiwa Muislam awe tayari kubadili na kuwa Mkristo)
- Awe ameajiriwa serikalini/sekta binafsi inayoaminika (Lazima), kama ni mfanyabiashara iwe biashara ya kuaminika siyo online business.
- Akiwa na mtoto (single mother) asizidi mmoja ila uhakikishe vigezo vingine vyote unavyo. Mtoto ni baraka tutamlea vizuri kwa pamoja na wale tutakaowapata.
- Awe tayari kunizalia watoto wawili tu.
- Awe anaishi popote hapa duniani, ila akiwa anaishi Dar es salaam ni vizuri zaidi.
- Elimu yoyote.
SIFA ZANGU
- Smart kichwani na mwili.
- HB na mwili wa kiume.
- Maji ya kunde.
- Mrefu, almost ft 5.9
- Miaka 34.
- Elimu Degree.
- Kazi Mhasibu (ila nimemaliza mkataba mahali fulani nasubiri kusaini mahali pengine soon).
- Naishi Dar es salaam
- Mkristo.
- Msukuma.
Kama ukiwa na sifa zote au pungufu kidogo njoo PM tukamilishe mazungumzo na kuanza taratibu za ndoa. Natamani tuoane mwaka huu huu, sina sababu za kusubiri tena.
Karibu sana nakusubiri babe wangu