Natafuta mpenzi aje kuwa mke

Natafuta mpenzi aje kuwa mke

Sina sifa hata moja Khaaa...mwaka unaishie uleee😣
Kumbe ushafika? Huna hata sifa? sasa wewe wa kazi gani? nilikuwa nawaza kwakuwa mimi hapo nakosa sifa moja basi nikuite hata wewe. Au hutaki kuolewa? Umenikeraaaaa.

Ila mleta mada kuna sehemu kanigusa ati mchumba awe smart kichwani na mwilini ahaaa wakaka wote smart wa mwili moyoni mwangu mna kachumba nawatunzia😂
 
Hello babe,nimekusubiria kwa muda mrefu sana..sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu.
Please mdada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani.Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani.

SIFA ZAKE
-Awe smart kichwani na mwili.
-Awe mzuri (MUHIMU SANA)
-Mwili wa kike kweli kweli
-Asiwe mfupi(LAZIMA)
-Awe maji ya kunde/mweupe(LAZIMA)
-Asizidi miaka 34
-Kabila lolote
-Awe mkristo(akiwa muislam awe tayari kubadili na kuwa mkristo)
-Awe ameajiriwa serikalini/sekta binafsi inayoaminika(LAZIMA)
-Kama ni mfanyabiashara iwe biashara ya kuaminika siyo online business.
-Akiwa na mtoto(single mother) asizidi mmoja ila uhakikishe vigezo vingine vyote unavyo.Mtoto ni baraka tutamlea vizuri kwa pamoja na wale tutakaowapata.
-Awe tayari kunizalia watoto wawili tu.
-Awe anaishi popote hapa duniani,ila akiwa anaishi Dar es salaam ni vizuri zaidi.
-Elimu yoyote.

SIFA ZANGU
-Smart kichwani na mwili.
-HB na mwili wa kiume.
-Maji ya kunde.
-Mrefu almost ft 5.9
-Miaka 34.
-Elimu Degree.
-Kazi Mhasibu (ila nimemaliza mkataba mahali fulani nasubiri kusaini mahali pengine soon)
-Naishi Dar es salaam
-Mkristo.
-Msukuma.

Kama ukiwa na sifa zote au pungufu kidogo njoo PM tukamilishe mazungumzo na kuanza taratibu za ndoa.Natamani tuoane mwaka huu huu sina sababu za kusubiri tena.
Karibu sana nakusubiri babe wangu
Hanghe habhasimbe ng'wanjaga ogodozunhya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ushafika? Huna hata sifa? sasa wewe wa kazi gani? nilikuwa nawaza kwakuwa mimi hapo nakosa sifa moja basi nikuite hata wewe. Au hutaki kuolewa? Umenikeraaaaa.

Ila mleta mada kuna sehemu kanigusa ati mchumba awe smart kichwani na mwilini ahaaa wakaka wote smart wa mwili moyoni mwangu mna kachumba nawatunzia😂
Hahaa asante
 
Hello babe,nimekusubiria kwa muda mrefu sana..sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu.
Please mdada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani.Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani.

SIFA ZAKE
-Awe smart kichwani na mwili.
-Awe mzuri (MUHIMU SANA)
-Mwili wa kike kweli kweli
-Asiwe mfupi(LAZIMA)
-Awe maji ya kunde/mweupe(LAZIMA)
-Asizidi miaka 34
-Kabila lolote
-Awe mkristo(akiwa muislam awe tayari kubadili na kuwa mkristo)
-Awe ameajiriwa serikalini/sekta binafsi inayoaminika(LAZIMA)
-Kama ni mfanyabiashara iwe biashara ya kuaminika siyo online business.
-Akiwa na mtoto(single mother) asizidi mmoja ila uhakikishe vigezo vingine vyote unavyo.Mtoto ni baraka tutamlea vizuri kwa pamoja na wale tutakaowapata.
-Awe tayari kunizalia watoto wawili tu.
-Awe anaishi popote hapa duniani,ila akiwa anaishi Dar es salaam ni vizuri zaidi.
-Elimu yoyote.

SIFA ZANGU
-Smart kichwani na mwili.
-HB na mwili wa kiume.
-Maji ya kunde.
-Mrefu almost ft 5.9
-Miaka 34.
-Elimu Degree.
-Kazi Mhasibu (ila nimemaliza mkataba mahali fulani nasubiri kusaini mahali pengine soon)
-Naishi Dar es salaam
-Mkristo.
-Msukuma.

Kama ukiwa na sifa zote au pungufu kidogo njoo PM tukamilishe mazungumzo na kuanza taratibu za ndoa.Natamani tuoane mwaka huu huu sina sababu za kusubiri tena.
Karibu sana nakusubiri babe wangu
Mbona we kama mdogo ake Saidi hivi?
 
Weka tangazo kwenye Barbara ya kariakoo utapata wenye sifa hizi ukikosa chukua mhaya atakuwa na sifa hizi zote na tena ziada
 
Back
Top Bottom