Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Research umeifanyia wapi?.Ni kweli wapo lkn ni ndoa 1 tu kati ya 217
Kuna utafiti ulifanywa na taasisi moja mwaka 2019 wakazifuatilia kwa ukaribu ndoa 2017. Ndiyo wakalibaini hilo.Research umeifanyia wapi?.
Kumbe ushafika? Huna hata sifa? sasa wewe wa kazi gani? nilikuwa nawaza kwakuwa mimi hapo nakosa sifa moja basi nikuite hata wewe. Au hutaki kuolewa? Umenikeraaaaa.Sina sifa hata moja Khaaa...mwaka unaishie uleee😣
Asante typing errorBosslady, kuna neno la kurekebisha herufi hapo juu. Hapo kwenye " ....sifa moja basi......ata wewe." 😁
Hanghe habhasimbe ng'wanjaga ogodozunhya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hello babe,nimekusubiria kwa muda mrefu sana..sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu.
Please mdada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani.Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani.
SIFA ZAKE
-Awe smart kichwani na mwili.
-Awe mzuri (MUHIMU SANA)
-Mwili wa kike kweli kweli
-Asiwe mfupi(LAZIMA)
-Awe maji ya kunde/mweupe(LAZIMA)
-Asizidi miaka 34
-Kabila lolote
-Awe mkristo(akiwa muislam awe tayari kubadili na kuwa mkristo)
-Awe ameajiriwa serikalini/sekta binafsi inayoaminika(LAZIMA)
-Kama ni mfanyabiashara iwe biashara ya kuaminika siyo online business.
-Akiwa na mtoto(single mother) asizidi mmoja ila uhakikishe vigezo vingine vyote unavyo.Mtoto ni baraka tutamlea vizuri kwa pamoja na wale tutakaowapata.
-Awe tayari kunizalia watoto wawili tu.
-Awe anaishi popote hapa duniani,ila akiwa anaishi Dar es salaam ni vizuri zaidi.
-Elimu yoyote.
SIFA ZANGU
-Smart kichwani na mwili.
-HB na mwili wa kiume.
-Maji ya kunde.
-Mrefu almost ft 5.9
-Miaka 34.
-Elimu Degree.
-Kazi Mhasibu (ila nimemaliza mkataba mahali fulani nasubiri kusaini mahali pengine soon)
-Naishi Dar es salaam
-Mkristo.
-Msukuma.
Kama ukiwa na sifa zote au pungufu kidogo njoo PM tukamilishe mazungumzo na kuanza taratibu za ndoa.Natamani tuoane mwaka huu huu sina sababu za kusubiri tena.
Karibu sana nakusubiri babe wangu
Hahaa asanteKumbe ushafika? Huna hata sifa? sasa wewe wa kazi gani? nilikuwa nawaza kwakuwa mimi hapo nakosa sifa moja basi nikuite hata wewe. Au hutaki kuolewa? Umenikeraaaaa.
Ila mleta mada kuna sehemu kanigusa ati mchumba awe smart kichwani na mwilini ahaaa wakaka wote smart wa mwili moyoni mwangu mna kachumba nawatunzia😂
Ehee nkoi..Hanghe habhasimbe ng'wanjaga ogodozunhya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ila mubhize na sifa nyinge😀Hanghe habhasimbe ng'wanjaga ogodozunhya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Anaishi kwa bahati mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa pole sana..yaani huna hata moja?sasa wewe unaishije hapa duniani?
Mbona we kama mdogo ake Saidi hivi?Hello babe,nimekusubiria kwa muda mrefu sana..sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu.