Natafuta mpenzi aje kuwa mke

Natafuta mpenzi aje kuwa mke

Embu tuone picha isijekua unasema HB kumbe ni HB tukilinganisha na Wasukuma wenzako.

Mekosa kigezo kimoja tu hapo naweza kuleta maombi mkuu?
 
Huu ni mtazamo wako binafsi...ila amini zipo ndoa nyingi watu wanaenjoy na kufurahia kuwa pamoja..
Wewe unajuaje? Watu wanakuambia from experience, wewe huna experience yoyote na ndoa zaidi ya kuwaona wanandoa kwa macho tu. Tuulize sisi
 
Jinsi ulivyoandika inaonekana we ni mchele mchele tu
 
Embu tuone picha isijekua unasema HB kumbe ni HB tukilinganisha na Wasukuma wenzako.

Mekosa kigezo kimoja tu hapo naweza kuleta maombi mkuu?
Wasukuma wote ni HB😀😀
 
Back
Top Bottom