Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
No thank you siwezi kulea serengeti boys25, bado najitafuta. Pls hivyo visiwe vigezo vya kuconsider
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No thank you siwezi kulea serengeti boys25, bado najitafuta. Pls hivyo visiwe vigezo vya kuconsider
We jamaa😂😂😂😂 kavu sana eti mademu😂😂😂😂Umri huo wanaanzaga kufa, mrudie muumba wako achana na Madem mzee wangu.
😂😂😂Kungwi Nini unaniangusha?huyo ni mwendo wa kupikia bamia Kwa wingi Kila mlo,zingine mlowekee anakunywa maji,na kuhakisha anafanyiwa massage ya mafuta ya ubuyu na karafuu kabla ya chochote huyo mbona pambe tuuuu......hakuna safari lager na mstaafu mpya ni mwendo wa Heineken mpaka ziishe...mkitoka hapo mnaingia kunywa Safari lager ya wastaafu.
Ila miaka 55 kuna baadhi ya viungo vingine vitakuwa havikunjuki.
Wewe inabidi ndio uwe supporter wake mkuu.
Wazee kama hawa ni mwendo wa kumkalia tu juu....na hivo nyonga zimekakamaa.... sijui 🤔
😂😂😂Huwezi ligi sio?😂😂😂😂 huu uzi title tu ilifanya nisiufungue
Kwa kauli hii,Umeingia top three ya mashindano! hongeraAtanipenda ivo ivo yeye kwani hajui faida na hasara za mdada age go?
Hutanilia...No thank you siwezi kulea serengeti boys
Hujampenda au? 😅😅Daah kweli umenichoka😃
Afu mubaba mwenyewe yuko kimya, isije ikawa tunamaliza style hapa jukwaani, kumbe ye keshapata wake PmCha muhimu mume shost joto awe nalo au lisiwepo we ishi naye ndo ushakuwa mrs
Shangazi mwenzangu umenishinda tabia.😂😂😂Kungwi Nini unaniangusha?huyo ni mwendo wa kupikia bamia Kwa wingi Kila mlo,zingine mlowekee anakunywa maji,na kuhakisha anafanyiwa massage ya mafuta ya ubuyu na karafuu kabla ya chochote huyo mbona pambe tuuuu......hakuna safari lager na mstaafu mpya ni mwendo wa Heineken mpaka ziishe
Me na vibabu wapi na wapi jamaniHujampenda au? 😅😅
Hutaki mafao? 😅Me na vibabu wapi na wapi jamani
🤣🤣🤣🤣Kasanuka sijui nani kamstua!humu Kuna masangwangwa tu,Shangazi mwenzangu umenishinda tabia.
🤩🤩🤩.
Mzee wetu yuko kimya sana,au kapata sie tunajichora tu hapa!!!
Baby majebsmafuru uko wapi mahi?
Pm zangu huzioni?
Tuzeeke pamoja dia!
🤣🤣🤣 bibi unazingua!! AlooooUmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Miaka 57 lililokosa mke mpaka linaingia mtandaoni kutafuta mke, ujuwe hakuna mume hapo, kuna kituko.
Hatari.🤣🤣🤣🤣Kasanuka sijui nani kamstua!humu Kuna masangwangwa tu,
Ndo manake ni Nyuchi tu anatafuta huyo mzee, vijana tunaita "Saka K" harakati za mtu mweusi.We jamaa😂😂😂😂 kavu sana eti mademu😂😂😂😂
Atume kwa M-Pesa yangu af apite vilee🤣Hutaki mafao? 😅