Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

Haya kazi kwenu sasa, pele limepata mkunaji 😅😅
Ushawahi kutaka kusoma matokeo ya nectar siku ya Kwanza yakitoka?mtandao Huwa unaload tu ndio kitu kinaendelea PM ya mtarajiwa muda huu
 
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Miaka 57 lililokosa mke mpaka linaingia mtandaoni kutafuta mke, ujuwe hakuna mume hapo, kuna kituko.
Najaribu kuangalia jinsi unavocoment nahisi unatoka mwambao wa Pwani... dar, Zanzibar, Tanga, Bagamoyo, Lindi na Mtwara nahisi humo kuna sehemu umetoka.
 
Sema huyu dingii....atakua dingi flani ana mvi hadi kwenye kope, hana maneno mengi na anajua kubembeleza yani utaitwa darling wife hadi ulie kwa furaha...
 
😂😂😂😂Umenikumbusha Kuna dalali insta anatangaza nyumba zake Goba huko,utasikia jamani mashangazi ki master hicho Cha kufichia kibenten chako....Hivi vinawapaga Hela hivyo vitoto au wewe ndio unakipa?
😄😄😄😄😄
Jamani Joannah mie huyu ananipa pesa mwaya.
Sema ndio hivo, wakati mwingine wanakuwaga jau sana
 
😂😂😂😂Joto hawezi kosa kikubwa anapumua,mi nilichompendea ukijumlisha hapo kwenye sikukuu pia 55 ndio age ya kustaafu....so NSSF ikisoma nitamsindikiza Tanzania postal Bank ya wastaafu kuzishughulikia
...mkitoka hapo mnaingia kunywa Safari lager ya wastaafu.
Ila miaka 55 kuna baadhi ya viungo vingine vitakuwa havikunjuki.
Wewe inabidi ndio uwe supporter wake mkuu.
Wazee kama hawa ni mwendo wa kumkalia tu juu....na hivo nyonga zimekakamaa.... sijui 🤔
 
Abeeeee shangazi mwenzangu.
Huyu ni saizi yetu kabisa....afu Mungu hamtupi mja wake, kaja wakati mzuri sana.
Wiki hii Pasaka, keshokuwa Iddi.

Sema miaka 55,ana joto kweli huyu?
Cha muhimu mume shost joto awe nalo au lisiwepo we ishi naye ndo ushakuwa mrs
 
Back
Top Bottom