Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

Kuna vimiili kuviona ni kama 23 kumbe vizee, mingine 25lakini kakongoroka kama mzee wa miaka 60,

Kila la kheri
 
😂😂😂Kungwi Nini unaniangusha?huyo ni mwendo wa kupikia bamia Kwa wingi Kila mlo,zingine mlowekee anakunywa maji,na kuhakisha anafanyiwa massage ya mafuta ya ubuyu na karafuu kabla ya chochote huyo mbona pambe tuuuu......hakuna safari lager na mstaafu mpya ni mwendo wa Heineken mpaka ziishe
 
Mbona miaka 55 bado mbichi kabisa na ana nguvu zake nyingi tu........ labda kama alikuwa mlevi Sana.......lakini mwanaume wa miaka 55 bado kabisa....... kikubwa ni kujitunza tu........vijana kumbukeni kujitunza na kuepuka anasa za kijinga....
 
Cha muhimu mume shost joto awe nalo au lisiwepo we ishi naye ndo ushakuwa mrs
Afu mubaba mwenyewe yuko kimya, isije ikawa tunamaliza style hapa jukwaani, kumbe ye keshapata wake Pm
 
Shangazi mwenzangu umenishinda tabia.
🤩🤩🤩.
Mzee wetu yuko kimya sana,au kapata sie tunajichora tu hapa!!!

Baby majebsmafuru uko wapi mahi?
Pm zangu huzioni?
Tuzeeke pamoja dia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…