Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

Mi naamini itarudi tu sbb ndani yako Iko mbegu tayari mkuu!
Wokovu hatuachi ,ni kurudi na kuendelea kutubu tu hakuna namna
Maisha ya Toba ndo mpango
Kwakwel kama ni hivyo basi Mungu anisaidie. But huwa na mic sana that life. Kuna watu wakiniona vile nimekata mguu ibadan huwa wanaumia sana 😂 .i think ni vile God used way back kufanya kitu kwenye maisha yao ambapo mpaka leo imebaki kumbu kumbu(wenyewe wanasema wamebaki na ushuhuda kwenye maisha yao).
 
Aiseee adui muongo sn
Utarudi tu ktk jina la Yesu !
Mi na kuelewa Kuna muda unavurugika balaa
 
Kwakwel kama ni hivyo basi Mungu anisaidie. But huwa na mic sana that life. Kuna watu wakiniona vile nimekata mguu ibadan huwa wanaumia sana 😂 .i think ni vile God used way back kufanya kitu kwenye maisha yao ambapo mpaka leo imebaki kumbu kumbu(wenyewe wanasema wamebaki na ushuhuda kwenye maisha yao).
Sio Wana umia😀😃😃, Wana shukuru maana unge kuwa baba mchungaji unge firisi sadaka za waumini😀😃🤣.
👉 We mrusi wa mchongo Ivan Stepanov
 
Back
Top Bottom