Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

Muajiriwa nafasi ya juu kuandika huwezi, kiswahili hujui
 
wahindi wako committed na kazi
 
Kwanini Wabongo wanapenda Biashara ya maduka?
Kama una uwezo wa kupata pesa ndefu kama hiyo kila mwaka;kama upo Dar es salaam wekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kupangisha na ununuzi wa Viwanja na mashamba.Pia nunua hisa au wekeza pesa kwenye fixed deposit accounts za Benki kubwa kama NMB au CRDB mwisho wa mwaka unalamba faida yako.
Mimi ni mfanyabiashara,sikufichi Biashara ya duka inahitaji mwingi uwepo kusimamia.Zingatia ushauri wangu kwasababu una kazi ya kukuingizia kipato monthly huwezi kushindwa kusubiri magawio au kusubiri Kodi za nyumba kwa mwaka!
 
Tatizo ni kuigana tu sio kitu kingine hebu fikiria kina MO na matajiri wakubwa yaani wamekazana na juices na mandazi na mikate

Kwa kweli leo mchina ametengeneza mashine zaidi ya 10,000 tena ndogo ndogo zinafanya kila kitu
Kwa hiyo hela anaweza kuwa na mashine za kuzalisha bidhaa hata 3 na akawa anafyatua tu

Ila mswahili humwambii kitu kwa biashara za kuigana

Kuna mpaka mashine za maji ambazo unapata mzunguko kiulaini
 
Asome hapa na aelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…