Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mkuu wizi, roho mbaya au nzuri ni hulka ya mtu na sio utaifa wa mtu. Kama ambavyo unawasifia wahindi vilevile tambua hata hapa wabongo wapo vizuri pia. Kwahiyo jaribu kupanua fikra zaidi sio kuwa negative kila jambo linalohusu wa TZ.Mtanzania ila nimekulia Dar
Anajaribu kuua mende kwa nyundo....Mentallity ya kimasikini sana hii... na usifanikiwe kwenye harakati zako milele.
Yaani shida ukoo wako mzima na kabila lako lote na unakosali hujapata mtu mwaminifu kazi ipo kweliHiyo ukaguzi wa kila siku ndo kazi ngumu kwangu kwa sababu vifaa vya pikipiki ni vidogo vidogo na pia mimi huwa nasafiri sana nataka kumuacha mtu huku nyuma ninaemuamini ambae anaweza jisimamia
Hilo la stocktaking Kila jioni kaulize watu wanavyolizwa kariakoo .Mtu anauza Halafu chap chap ana replace stock Kwa kununua duka lingineHata mbongo unaweA muweka chamsingi hakikisha stock unaimonitor kila siku ukitoka kazini na kuhakikisha unakagua hesabu kila siku.
Anyway kwa muhindi landa uingie nae patnaship tu
Hapa umempa somo kubwa sana, shida ya jamaa ni mindset mbovu.Mkuu hata wabongo waaminifu wapo, hapo kingine unaexpectaions kubwa sana. Usikariri wahindi waliofanikisha biashara hio na wewe ukaiga fanya research ya kutosha jua ni mbinu gani wanatumia then anza kuzi apply usikurupuke tu.
Kama hujapata muaminifu achana na wazo la biashara. Hata wahindi wapo wasio waaminifu.Hilo la stocktaking Kila jioni kaulize watu wanavyolizwa kariakoo .Mtu anauza Halafu chap chap ana replace stock Kwa kununua duka lingine
Ukifikika jioni kama kauza 100 ukirudi akikuhurumia anakuambia nimeuza 20
Cha msingi kupata mtu mwaminifu au aiache kazi asimamie mwenyewe.Mshika mawili moja humpokonyoka .Achague moja kazi ya ajira au biashara
Spear ❌ , spare ✅. Shuleni ulienda kusomea ujinga? Ingawa HII NI CHAI ila nitakujibu. Wewe tayari umeshafeli kabla ya kuanza. Kwanini ufikirie uovu wa kuua biashara za wengine? Halafu hiyo 70m unaona nyingi sana kiasi cha kuweza kuua biashara zingine? Hujui kama siku hizi watu wana viduka vidogo huku stoo zikiwa zimesheheni? Kama una hiyo hela weka hata fixed account kwa biashara umeshafeli kabla ya kuanza.Nirudi kwenye mada iliyonifanya nifungue uzi huu sasa. Nimewaza nipate Muhindi ili nimuajiri au tufanye kama partnership, i mean yeye awekeze kwenye Management mimi CAPITAL kwa sababu target yangu mimi ni kuua biashara za wenye viduka vidogo vidogo vya spear hapa wilayani ili nitawale soko kwa mikakati ifuatayo:
Umeshafeli.Hiyo ukaguzi wa kila siku ndo kazi ngumu kwangu kwa sababu vifaa vya pikipiki ni vidogo vidogo na pia mimi huwa nasafiri sana nataka kumuacha mtu huku nyuma ninaemuamini ambae anaweza jisimamia
Kuua biashara ya mtu sio Rahisi hasa hao wafanyabishara wadogo.Washirikina hao hatari watamloga na biashara yake Hadi akomeSpear ❌ , spare ✅. Shuleni ulienda kusomea ujinga? Ingawa HII NI CHAI ila nitakujibu. Wewe tayari umeshafeli kabla ya kuanza. Kwanini ufikirie uovu wa kuua biashara za wengine? Halafu hiyo 70m unaona nyingi sana kiasi cha kuweza kuua biashara zingine? Hujui kama siku hizi watu wana viduka vidogo huku stoo zikiwa zimesheheni? Kama una hiyo hela weka hata fixed account kwa biashara umeshafeli kabla ya kuanza.
Kawaza ujinga sana. Hao wafanyabiashara wadogo ndo inabidi awaweke karibu na kuwauzia jumlaKuua biashara ya mtu sio Rahisi hasa hao wafanyabishara wadogo.Washirikina hao hatari watamloga na biashara yake Hadi akome
Wewe kwenye biashara umeiva. Kimsingi kuna baadhi ya vitu mfanyakazi hatakiwi akuelewe kabisa. Ishu ya stock taking haitakiwi iwe kwa ratiba maalum.. inatakiwa iwe ya kushtukiza. Kama kuna upuuzi utagundua. Pia mfanyakazi anatakiwa aone unamuamini kumbe humuamini hata kwa 1% huku unafuatilia kila kitu kimyakimya. Mfanyakazi kujua ratiba za boss ni hatari.Hilo la stocktaking Kila jioni kaulize watu wanavyolizwa kariakoo .Mtu anauza Halafu chap chap ana replace stock Kwa kununua duka lingine
Ukifikika jioni kama kauza 100 ukirudi akikuhurumia anakuambia nimeuza 20
Cha msingi kupata mtu mwaminifu au aache kazi asimamie mwenyewe.Mshika mawili moja humpokonyoka .Achague moja kazi ya ajira au biashara
Nadhani na wewe ni mbongo 🤔 huko kazini kwako kupo salama kweli..!!! Maana kigezo chako kikubwa ni uaminifuWengi wao
Wewe pia nakushangaa sana kwa fikra za kijinga kudhani kuua biashara za wengine ndo wewe utabaki salama. Mbiashara smart hafikirii kuua biashara ya mtu. Hufikiria kuboresha tu biashara yake. Na ni hatari mno ukigundulika nia yako ya kutaka kuua biashara zingine. Utapotezwa haraka sana. Kama ana mtaji wa hela nyingi yeye awauzie wafanyabiashara wadogo kwa bei ya jumla.Humu nimegundua watu wengi blaa blaa kibao ila hawajui na hawajawahi kufanya biashara.......serious mfanya biashara unashangaa mtu kusema ataua biashara za wenzie.
Binafsi najua ili biashara ikubali lazima uliteke soko na huko ndio kuwaua wenzio kibishara na hicho ni kitu cha kawaida sana kwenye biashara.
Kuhusu waafrika ni kweli sisi waafrika wengi tunahitaji kusimamiwa maana hatujawahi kujielewa wala kuwa serious kwenye kazi za watu.....watu wachache sana wenye uchungu wa maisha ndio wanajua kutumia nafasi kama hizo vizuri.
After all nakuona wewe ni boss mzungu sana kama ukipata kijana makini,shida ni upele humwota asiye na kucha ...nafasi kama hizi haziwapati watu ambao maisha yamewanyoosha hivyo washapevuka kiakili na wanajielewa....
Ila muhimu kuliko yote lazima ujitahidi upate hata mara moja kwa week ya kukagua biashara hata ile ya mkwara ili mfanyakazi asijisahau.
Kupata mswahili ambaye siyo mwizi labda aumbe mwenyewe kwa udongo.Uaminifu -na management ndo msingi wa biashara na mafanikio.
Ukikosa muhindi wapo waswahili pia waaminifu sema mpaka umpike aelewe kuwa wizi haufai.
Wahindi huwa wanaamini ukiiba umejiibia wewe mwenyewe mambo ya karma wanayajua Sana so wana embrace honest .
Niseme umewaza sahihi mkuu mchakato wa kuwa tayari kuinuka na MTU ni mchakato ambao upo attached spirituality.
Mbongo ni mstaarabu akiwa hajapata Akipata anaanzisha tabia ngeni ambazo hata yenye mwenyewe huzishanagaaMkuu wizi, roho mbaya au nzuri ni hulka ya mtu na sio utaifa wa mtu. Kama ambavyo unawasifia wahindi vilevile tambua hata hapa wabongo wapo vizuri pia. Kwahiyo jaribu kupanua fikra zaidi sio kuwa negative kila jambo linalohusu wa TZ.
Mbongo ni mstaarabu akiwa hajapata Akipata anaanzisha tabia ngeni ambazo hata yenye mwenyewe huzishanagaa
Muhimu ni kuzingatia kuwa timua mapema iwezekanavyo ukiona daliliMbongo ni mstaarabu akiwa hajapata Akipata anaanzisha tabia ngeni ambazo hata yenye mwenyewe huzishanagaa
Asante kwa kunielewaHumu nimegundua watu wengi blaa blaa kibao ila hawajui na hawajawahi kufanya biashara.......serious mfanya biashara unashangaa mtu kusema ataua biashara za wenzie.
Binafsi najua ili biashara ikubali lazima uliteke soko na huko ndio kuwaua wenzio kibishara na hicho ni kitu cha kawaida sana kwenye biashara.
Kuhusu waafrika ni kweli sisi waafrika wengi tunahitaji kusimamiwa maana hatujawahi kujielewa wala kuwa serious kwenye kazi za watu.....watu wachache sana wenye uchungu wa maisha ndio wanajua kutumia nafasi kama hizo vizuri.
After all nakuona wewe ni boss mzungu sana kama ukipata kijana makini,shida ni upele humwota asiye na kucha ...nafasi kama hizi haziwapati watu ambao maisha yamewanyoosha hivyo washapevuka kiakili na wanajielewa....
Ila muhimu kuliko yote lazima ujitahidi upate hata mara moja kwa week ya kukagua biashara hata ile ya mkwara ili mfanyakazi asijisahau.