Inategemea na nyumba yenyewe vitu vilivyomo location na mengine. zipo za dollar 15 hadi za dollar hata 150 kwa siku. Kuna moja niliichukua dodoma kwa muda wa mwezi back in 2021 hiyo nililipa kama lak 3.8 ilikuwaga simple sana ilikuwa ni master ina kitanda na mashuka na kila kitu na TV na na kijiko kidooogo sana. Hiyo ndio aribnb ambayo nadhani ilikuwa cheap kuliko zote nilizowahi kutana nazo maana 3.8 kwa mwez ni cheap sana.kwa siku moja ni sh ngap