Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Ninachojua, ndoa huanza na urafiki, na urafiki huanza kwa kujuana na watu wanaokuzunguuka. Anza na rafiki au tengeneza urafiki na watu ulionao karibu, kuwa reasonably kind, usijali muonekano wako, sometimes watu huvutika na wanawake wenye tabia nzuri na wakarimu kuliko wa sura nzuri. From there you can begin your move. All the best.
 
Vipi ambao tupo mkoa tofauti je inawezekana mama mtarajiwa.manake mm nina mapenzi ya kwel ila sipo dar
 
na kama ndivyo, hawachelewi kunasa, utakuta wanatafuta wenye makosa ya mitandao wajieleze kwake mchumba (TISS)
 
Jamani wanajukwaa, naomba mnisaidie kumwambia mama mtarajiwa ajibu PM zangu. Manake nmesubiri weee lakini wapi. Tangu Ijumaa nimempm application bila majibu. Au nikiona kimya nijue nimekosa? Aiii weweeee....!!.
 
Jamani wanajukwaa, naomba mnisaidie kumwambia mama mtarajiwa ajibu PM zangu. Manake nmesubiri weee lakini wapi. Tangu Ijumaa nimempm application bila majibu. Au nikiona kimya nijue nimekosa? Aiii weweeee....!!.
ana penda kwa hisia huyu mama mtalajiwa subiri labda bado husahiri una endelea zamu yako bado
 
Picha iko wapi? Unataka kutukamata juu kwa juu? Tuma picha tuthaminishe kwanza
 
Naamin vigezo namasharti vimezngatiwa kumpata baba mtarajiwa
 
ila hautaishi bure hapa kwangu .wala usitegemee kunidanganya kama wewe ni muongo nitakujua tu .kama huna mapenzi ya dhati unapenda mteremko bora usinitafute maana hapa sio mahali pake
Baada ya watu kumiminika pm umebadili gia angani
 
Niko tayari ila sipo dar niko shy na nafanya kazi!sasa itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…