Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hapana siyo mimi... Siwezi kufanya hivyo kwanza... Kuna thread nadhani aliianzisha kushukuru...Basi mmoja wapo itakuwa ni wewe, umejuaje kama kuna walio PM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana siyo mimi... Siwezi kufanya hivyo kwanza... Kuna thread nadhani aliianzisha kushukuru...Basi mmoja wapo itakuwa ni wewe, umejuaje kama kuna walio PM?
lakini hili, wewe huliwezi?JF ina mambo sana.
Hapana mkuulakini hili, wewe huliwezi?
aliyeshiba kweli hakumbuki maumivu ya njaa!Hapana mkuu
ana penda kwa hisia huyu mama mtalajiwa subiri labda bado husahiri una endelea zamu yako badoJamani wanajukwaa, naomba mnisaidie kumwambia mama mtarajiwa ajibu PM zangu. Manake nmesubiri weee lakini wapi. Tangu Ijumaa nimempm application bila majibu. Au nikiona kimya nijue nimekosa? Aiii weweeee....!!.
Baada ya watu kumiminika pm umebadili gia anganiila hautaishi bure hapa kwangu .wala usitegemee kunidanganya kama wewe ni muongo nitakujua tu .kama huna mapenzi ya dhati unapenda mteremko bora usinitafute maana hapa sio mahali pake
Subiri kwanza tumshauri namna ya kuwapembua.Jamani wanajukwaa, naomba mnisaidie kumwambia mama mtarajiwa ajibu PM zangu. Manake nmesubiri weee lakini wapi. Tangu Ijumaa nimempm application bila majibu. Au nikiona kimya nijue nimekosa? Aiii weweeee....!!.
Niko tayari ila sipo dar niko shy na nafanya kazi!sasa itakuwaje?Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange