Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Ule usemi wa wanaume tupo wachache kuliko wanawake leo ndonimeuamini wallah
 
Bado tu haujapata? .....siku ukihitaji kijanaa nishtue ...maana yake sio kwamba vijana wote hawajitambui.....kuna wazee pia hawajitambui
 
Ushauri muruaa kabisa.......maanake yeye anadhani mtu kuwa na umri kuanzia miaka 30's basi anakuwa na guarantee ya kuwa serious na maisha ...kitu ambacho sio kabisa
 
ila hautaishi bure hapa kwangu .wala usitegemee kunidanganya kama wewe ni muongo nitakujua tu .kama huna mapenzi ya dhati unapenda mteremko bora usinitafute maana hapa sio mahali pake
Nahc hata we huna mapenz ya that ndio maana umejiandaa kuolewa na yoyote
 
Ushauri muruaa kabisa.......maanake yeye anadhani mtu kuwa na umri kuanzia miaka 30's basi anakuwa na guarantee ya kuwa serious na maisha ...kitu ambacho sio kabisa
nina miaka 35 ni sawa kuwa na kijana wa umri anzia upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…