Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Ule usemi wa wanaume tupo wachache kuliko wanawake leo ndonimeuamini wallah
 
Bado tu haujapata? .....siku ukihitaji kijanaa nishtue ...maana yake sio kwamba vijana wote hawajitambui.....kuna wazee pia hawajitambui
 
Mama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.

Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.

Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.

Otherwise, all the best.
Ushauri muruaa kabisa.......maanake yeye anadhani mtu kuwa na umri kuanzia miaka 30's basi anakuwa na guarantee ya kuwa serious na maisha ...kitu ambacho sio kabisa
 
ila hautaishi bure hapa kwangu .wala usitegemee kunidanganya kama wewe ni muongo nitakujua tu .kama huna mapenzi ya dhati unapenda mteremko bora usinitafute maana hapa sio mahali pake
Nahc hata we huna mapenz ya that ndio maana umejiandaa kuolewa na yoyote
 
Ushauri muruaa kabisa.......maanake yeye anadhani mtu kuwa na umri kuanzia miaka 30's basi anakuwa na guarantee ya kuwa serious na maisha ...kitu ambacho sio kabisa
nina miaka 35 ni sawa kuwa na kijana wa umri anzia upi?
 
Back
Top Bottom