Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,620
- 5,515
Nina watoto watatu,wawili kiume 1 kike,nina trekta mbili,shamba ekari 70 na ekari 5 za miti,pia nina nyumba mbilikila kitu ninacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina watoto watatu,wawili kiume 1 kike,nina trekta mbili,shamba ekari 70 na ekari 5 za miti,pia nina nyumba mbilikila kitu ninacho
inabidi tuishi mnavotakaDuh kweli midume suruali hapa umetupata
sina shida na mali zakoNina watoto watatu,wawili kiume 1 kike,nina trekta mbili,shamba ekari 70 na ekari 5 za miti,pia nina nyumba mbili
Oh,una point hapa.yule jamaa sijalala nae hata siku moja na siwezi kukata tamaa kwa ajili ya mtu mmoja nitampata tu mkweli
Mhhhhhh jamani! Nani tena huyo?Mama hili mbona kama dongo kwa naniliu!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ooooopppsss I'm sorryyyyyyy mom.sijawai kubeba mimba sio mimi dada
ni kweli ila ngoja nitafute mzee mwenzangu vijana wanaitaji nguvu zaidiBado tu haujapata? .....siku ukihitaji kijanaa nishtue ...maana yake sio kwamba vijana wote hawajitambui.....kuna wazee pia hawajitambui
Ushauri muruaa kabisa.......maanake yeye anadhani mtu kuwa na umri kuanzia miaka 30's basi anakuwa na guarantee ya kuwa serious na maisha ...kitu ambacho sio kabisaMama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.
Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.
Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.
Otherwise, all the best.
Nahc hata we huna mapenz ya that ndio maana umejiandaa kuolewa na yoyoteila hautaishi bure hapa kwangu .wala usitegemee kunidanganya kama wewe ni muongo nitakujua tu .kama huna mapenzi ya dhati unapenda mteremko bora usinitafute maana hapa sio mahali pake
AmeenKila la kheri [HASHTAG]#mamamtarajiwa[/HASHTAG]. Utapata tu
mapenzi huwa yanatengenezwa wapo waliopendana sana ila wakaja kuachana vibaya sanaNahc hata we huna mapenz ya that ndio maana umejiandaa kuolewa na yoyote
Nimetuliza akili mkuu [emoji4]
Asante.
nina miaka 35 ni sawa kuwa na kijana wa umri anzia upi?Ushauri muruaa kabisa.......maanake yeye anadhani mtu kuwa na umri kuanzia miaka 30's basi anakuwa na guarantee ya kuwa serious na maisha ...kitu ambacho sio kabisa