Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

very serious sema umri sasa ndio daa, ila ndo naingia 30's sasa, nadhani sio mbaya sana nicheki hapo mamie 0677 174 806
 
Mkuu siku hizi mambo ya kutongoza mwezi mzima hatutaki, kama hivi mdada kaleta maombi mwenyewe tunachangamkia
mambo ya mlima kitonga hayooo. Kila ka kheri .Na mlivyowengi .....umeshapata nafasi au hujawahi PM..
 
Punguza kidooooogo, kigezo cha umri tuyajenge mama mtarajiwa.
 
NJOO PM
 
Mdada tuliza akili...

Usitumie nguvu nyingi kutafuta mume mpaka unatoa offer ya makazi.

Wakati mwingine kuolewa ni bahati..

Kama yako ipo,atakuja tu kwa muda uliopangiwa.
 
ushapata?sisi watu wa pwani tunasema ustaarabu adabu,nisije tupa mashairi kumbe ushapata
 
Wale wasio na nyumba nendeni mkaishi makazi yapo tayali.
 
Akili yangu imetulia baada ya kumpata mtu sahihi,ukiwa na pasua kichwa hata uwe kwenye 40's unakuwa mwehu pia.

Ndio maana ni vyema zaidi kutumia busara sana kumchagua mwenzi.

Kweli kabisa, maana usipopata mtu sahihi inaweza hata kuharibu future yako.
 
Hakiya nani..huuu ni mtego..kuweni makini wanaume waJF kuna mtu anatafutwa usije ukawa mmoja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…