Natafuta Mume wa kunioa

Upo mkoa gani mrembo?
 
5 ni kipengere
 
Sio kwamba amekosa hapana, huyu ni mjanja anajua hii forum ya jamii inatumiwa na wanaume wengi wasomi na wenye mafanikio na yeye ataki masikini ndio mana kaja kubandika tangazo lake humu.
Wanaume wa jf hawa wabahili πŸ˜ƒ
 
Ingekuwa jiko la pumba, kuni sawa.. Ila hili linaonekana ni la umeme n gesi, siliwezi maisha yamepanda bei. πŸ˜‚
Jiko la umeme atakuja nalo, sie wadada wa jf tutamfanyia kitchen party.
Umeme atanunua yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…