Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Chukua jiko.....Mimi najua kuitafuta pesa haswa, nishawahi poteza elfu mbili, wakati natoka kariakoo, nikatoka kuanzia mbagala kwa mguu naisaka elfu 2 yangu, nikaja kuipatia mtoni mtongani, niliangusha pale wakati nakula miwa 😂