Natafuta Mume wa kunioa

Natafuta Mume wa kunioa

Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.

1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
Upo mkoa gani mrembo?
 
5 ni kipengere
 
Sio kwamba amekosa hapana, huyu ni mjanja anajua hii forum ya jamii inatumiwa na wanaume wengi wasomi na wenye mafanikio na yeye ataki masikini ndio mana kaja kubandika tangazo lake humu.
Wanaume wa jf hawa wabahili 😃
 
Ingekuwa jiko la pumba, kuni sawa.. Ila hili linaonekana ni la umeme n gesi, siliwezi maisha yamepanda bei. 😂
Jiko la umeme atakuja nalo, sie wadada wa jf tutamfanyia kitchen party.
Umeme atanunua yeye
 
Back
Top Bottom