Natafuta Mume wa kunioa

Natafuta Mume wa kunioa

Kweli sijui ni nini? Ila kukosa wa kukuoa sijui uwe na matatizo gani ya wazi wazi. Wanaume waoaji wapo wamejaa tele.
Inawezekana anachagua sana. Atafanikiwa lkn
Matatizo ya waziwazi 😂😂
 
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.

1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
Hujaelezea maumbile yako ya nyuma. Trunker lipo au halipo? 😎😎😎
 
Da
Kweli sijui ni nini? Ila kukosa wa kukuoa sijui uwe na matatizo gani ya wazi wazi. Wanaume waoaji wapo wamejaa tele.
Inawezekana anachagua sana. Atafanikiwa lkn
Dada Mshukuru Mungu amekupa kibali kuna mdada mwenzako anmaliza wiki nzima hajapata mwanaume wa kumwambia mambo, dunia ina mengi ya kustaajabisha
 
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.

1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
Nijuwacho, masherti huwa yapo INVERSELY PROPORTIONAL na umri..!! Ipo siku yule anayepumua tu ndo atahitajika..!! Ukizingatia ukomo wa hedhi upo utakuja siku moja
 
Kwa ajili ya iko ki degree chako kimoja ......unareta malingo ya kuchagua chagua ngoja mvua inyeshe tuone panapo vuja.......utakuja kusema awe ana pumua Tu na mashine inasimama vizuri
Si kweli, kila mtu anahaki ya kuchagua mtu ampendae awe wa namna gani so sidhan kama ilikua na haja ya kumfokea hivo,

Kuwa sijui anamiaka mingi au midogo haimaniishi sasa ndo awe na machuguo yasio sahihi

Do not belittle her she deserve every good thing down earth 🙏🏽
 
Haki ya kuchagua kwa wanawake siyo realistic ..!!! Umri unawakaba sana nyie
 
Back
Top Bottom